Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 961
- 533
- Thread starter
-
- #41
Mkuu mfano wanaojitengenezea chakula kwa kuku 500,unaweza pata faida kiasi gani,coz my experience ninayo kwenye vyakula vya CP or FALCON .Still napata enough profit
Kama unapata faida katika chakula cha CP AU Falcon huna haja ya kutengeneza mwenyewe chakula but maeneo mengine chakula cha kuku huwa kinauzwa kwa bei mbaya sana kitu ambacho inashusha faida yako.
Nimevutiwa sana na haya mabanda...niko ktk mkakati wa kuanza kilimo cha mifugo...ningependa kupata ushauri zaidi juu ya ujenzi wa mabanda bora ya kuku...eneo ninalo la kutosha.
Kaka naweza pata mfano wa price za chakula hapo dodoma?
Hongera sanaa mkuu,thread nzuri sanaa,kwa wale wote walioko Dar na mikoa ya karibu,mnaweza pata kuku wa nyama na wayai,pamoja na vijogoo kwa bei nafuu kabisa na raisi kufuga.
Broiler (Nyama) ni TZS 1300
Layers (Mayai) no TZS 2200
Vijogoo (Male Layers ) ni TZS 40
Hizi ni bay per DOC na ndani ya box wanakaa 102.
Vifaranga toka breed bora kabisa ya ISA BROWN NA ARBOR ACER.
NITAFUTE KWENYE NO 0717332652,Kwa wale ambao mmeshanunua kwangu mnaweza elezea ubora wa bizaaa zangu.
KUKU WANALIPA SANA,JIAJIRI MAISHA YATAENDA TU.
Mkuu unaruhusu mtu kupata uzoefu katika shamba lako...
Asante kwa kunionesha hao kuchi mm nilikuwa nawaitaji vigaranga japo wa mwezi mmoja au miwaili majike sita na madume mawaili lkn hawa hao wenye mdomo wa kasuku ndio shida yangu mafuta kuku tofauti tofauti wa kienyeji nilikuwa nawaitaji hao namba yangu Ni 0716428298,nipo Dar-es-salaam magogoni kigamboni.
Natafuta majogoo mazuri ya mbegu yasiwe na umri zaidi ya miezi 6.. Ningependelea sussex, kebro, dorep na red rhode island.. Au kama kuna mtu anauza fertile eggs(MUHIMU NILAZIMA NIONE KUKU WAZAZI). NAHITAJI KAMA MAJOGOO 100
ayunus, tunauza mayai ya mbegu na ukitaka vifaranga tunakutotoreshea piga 0713229933
Second Lieutenant unaweza ukaweka picha ya hao majogoo wakiwa na wiki ya 13 tayari kwa kuuzwa? Nimevutiwa nao...Wanakuwa na rangi nyeupe.