Ukiondoa sifa ya mapenzi ni kitu kipi kingine watu wa Tanga wanaweza kujivunia?

sio kweli usitudhalilishe
Nasema kinachonitokea na wengine wengi. Watu ni wavivu, mwanamke anashida kwenye mkeka asubuhi jioni, siku nzima , wiki nzima, mwezi Jan-Dec. Bahati mbaya ninaishi mitaa ya wadigo! Lakini ukitoka shamba na mazo ya shamba anaomba. TENA HAWANA AIBU KUOMBA.
Ila kujiremba hakuna mfano, mtu anatoka kwenye kibanda cha makuti ya minazi hovyo hovyo, lkn amevaa over a lakh mwilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…