rashidiiddi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 224
- 117
Kukamua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Sitaki mieeeee.Yaan nimeuliza nijue je wakishawahi ombwa hela za kula na watanga sababu hawafanyi kazi au biashara
Hivi jose kwanini huwi wa kwanza tena?SIKILIZA ULE WIMBO WA WAGOSI WA KAYA UITWAO TANGA KUNANII PALE NDIO UTAJUA
kitu kinachoshangaza Tanga, unamkuta mtoto mlaini, msafii, kanona kama huyo hapo, lakini anatoa tigo, anapakuliwa mbolea....kitu cha kawaida huko. hata mapungaz wamejaa Tanga pamoja na kwamba majority watakwambia wanaswali tena swala tano.![]()
Nawasilisha.
Mnapanga nini nyinyi babu yangu tangu aje huko mwaka 1982 hatujui alipo na hakurudi tena?Ya Tanga tuachieni watanga,
Hata kama mna wanga,
Maisha yao hamkuyapanga,
Shughuli zetu mwazitakiani,
Wakati yenu yanawashinda kutwa mu juani,
Twaita watanga,
Twajuana kwa tunayoyapanga
Babu yako kaingia cha kike Tanga, badala ya kukutana na wakojoao wima. Kakuta wadada wanachutama kumaliza haja zao, atarudijeMnapanga nini nyinyi babu yangu tangu aje huko mwaka 1982 hatujui alipo na hakurudi tena?
Tabia mbaya
Sawa tu nyie jisifieniBabu yako kaingia cha kike Tanga, badala ya kukutana na wakojoao wima. Kakuta wadada wanachutama kumaliza haja zao, atarudije
We kichaa matunda mnayookota hapo kariakoo mnayalima nyie?unajua pilipili hoho nzuri na sio broiler zinalimwa na watu gani?kabla ya kuandika tumia kichwa kikubwa kufikiriaUvivu hasa wasambaa
Sasa wewe na twaweza mnatofauti gani? yaani Unamaanisha mikanjun,duga,donge,sahare,magomeni,tanga beach kuna wapare na wachaga wengi?kua serousTanga imemezwa na wapare na wachaga kwa sasa wenyeji cjui wapo mabokweni kule. Wanachojivunia kwa sasa ni ujio wa bomba la mafuta Kutoka hoima Uganda ila sasa wana wasomi wa kushindana na wakuja?
Si afadhar zongo Kule sukuma land kuna kitu kinaitwa ndago acha kabisaUchawi.. Walinipiga zongo wale sina hamu nao