Ukiondoa sifa ya mapenzi ni kitu kipi kingine watu wa Tanga wanaweza kujivunia?

Ukiondoa sifa ya mapenzi ni kitu kipi kingine watu wa Tanga wanaweza kujivunia?

Wengine kwenu kama mwituni,
Barabara vumbi hamfikini lamini,
Mwakaa kupabeza Tanga kwanini,
Wakati makwenu kama mwaishi shimoni,
Majaa kila kona harufu kama chooni,
Mtuachie Tanga ustarabuni,
Usafi hatuuachi asilani,
Ustarabu uu damuni,
Shughuli zetu ni sirini,
Hatujikwezi tukajitia ujingani
 
Tanga imemezwa na wapare na wachaga kwa sasa wenyeji cjui wapo mabokweni kule. Wanachojivunia kwa sasa ni ujio wa bomba la mafuta Kutoka hoima Uganda ila sasa wana wasomi wa kushindana na wakuja?
 
28277108_755906537928084_7100629352439966663_n.jpg

Nawasilisha.
kitu kinachoshangaza Tanga, unamkuta mtoto mlaini, msafii, kanona kama huyo hapo, lakini anatoa tigo, anapakuliwa mbolea....kitu cha kawaida huko. hata mapungaz wamejaa Tanga pamoja na kwamba majority watakwambia wanaswali tena swala tano.
 
Ya Tanga tuachieni watanga,
Hata kama mna wanga,
Maisha yao hamkuyapanga,

Shughuli zetu mwazitakiani,
Wakati yenu yanawashinda kutwa mu juani,

Twaita watanga,
Twajuana kwa tunayoyapanga
Mnapanga nini nyinyi babu yangu tangu aje huko mwaka 1982 hatujui alipo na hakurudi tena?

Tabia mbaya
 
Mnapanga nini nyinyi babu yangu tangu aje huko mwaka 1982 hatujui alipo na hakurudi tena?

Tabia mbaya
Babu yako kaingia cha kike Tanga, badala ya kukutana na wakojoao wima. Kakuta wadada wanachutama kumaliza haja zao, atarudije
 
Uchawi.. Walinipiga zongo wale sina hamu nao
 
Tanga imemezwa na wapare na wachaga kwa sasa wenyeji cjui wapo mabokweni kule. Wanachojivunia kwa sasa ni ujio wa bomba la mafuta Kutoka hoima Uganda ila sasa wana wasomi wa kushindana na wakuja?
Sasa wewe na twaweza mnatofauti gani? yaani Unamaanisha mikanjun,duga,donge,sahare,magomeni,tanga beach kuna wapare na wachaga wengi?kua serous
 
nimepta kwa washkaji(kange) wamepika kuku nenda ukapakuliwe
 
Back
Top Bottom