Yeye tutamnyoosha oktobaLissu ameinyoosha nchi ndani ya muda mfupi sana
Duh, Lissu amekamua jiwe hadi likatoka maji!Lissu ameinyoosha nchi ndani ya muda mfupi sana
Waliotumbuliwa na vyeti fake wakumbusheni jinsi walivyoonewa halafu mmoja wao akaendelea kula bata hadi hapo majuzi wamempunzisha kiaina kufunika hoja ya upendeleo.Lissu kanyoosha nchi mpaka sasa.
Wamachinga watampa kura zao na uzuri wako wengi nchi nzima hivyo watachangia sana kumuangusha Magufuli.
Wewe ulikiwa unadhurumiwa nini mkuu?Lissu amesaidia kupunguza mbinyo wa dhulma nchini!
Bado Masheikh wetu
Hii ni kweli?6. Askofu Niwemugizi aliyerejeshewa passport yake baada ya Lissu kupiga spana - huyu pamoja na waumini wake na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu
na NapeMzee Makamba na Kinana, hawasemi tu lakini mi najua watakachofanya.
8. Wakulima waliodhulumiwa korosho yao na Kahawa sasa wataweza kuuza mazao yao popote pale penye soko duniani na hii itasaidia kuondoa u- monopoly market ulioanzishwa na ccm nao watampigia kura Tundu Antipas Lissu
Hata mimi afamilia yangu tutampigia kura TAL .Tangu mh Tundu Lissu arejee nchini mwezi August, amekuwa akitoa matamko mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa yameweza ku reshape approach ya serekali ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa mambo yake kadhaa.
Hii imepelekea makundi mbalimbali katika jamii ya Watanzania kunufaika kwa namna moja ama nyingine. Tafsiri ya hili ni kwamba bila ya intervention ya Lissu serekali isingeweza kuchukua hatua stahiki kwa manufaa ya makundi haya.
Makundi haya lazima yatakuwa yameshatambua mchango wa Lissu katika ufanikishwaji wa yale waliyokuwa wanayahitaji kutoka serekalini bila mafanikio kwa miaka yote 5 iliyopita.
Nina uhakika akilini mwao watakuwa wanajiuliza "Kama Tundu Lissu amewezesha haya ilihali hayuko madarakani, je haitakuwa zaidi pale atakapokuwa madarakani? Kwa nini tusimpe nchi kabisa tunufaike pakubwa zaidi?"
1. Walimu 13'000 ambao serekali imetangaza kuwapa ajira mpya - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu
2. Wafanyabiashara waliopewa msaada wa sh milioni 100 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu
3. Wananchi walioahidiwa kujengewa barabara ya km 46 (Sengerema - Nyehunge) - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.
4. Wananchi wa Itigi walioahdiwa kujengewa barabara ya km 16 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu
5. Wamachinga ambao Magufuli kawaambia si lazima tena kulipia elfu 20 kupata kitambulisho - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.
6. Askofu Niwemugizi aliyerejeshewa passport yake baada ya Lissu kupiga spana - huyu pamoja na waumini wake na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu
7. Kuanzia mwezi huu mshahara kima cha chini serekalini umepanda kutoka 170,000 hadi 270,000 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu
8. Kwa mara ya kwanza (baada ya kuwa anawafokea tu kwa miaka 5) Watanzania wamemwona mgombea urais wa CCM akiongea nao kwa kuwabembeleza - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.
9. Ni makundi hayo tu kwa uchache, lakini yapo mengi unaweza kuongeza mengine.
10,Waislamu wote ambao sio wanafiki kama BAKWATA watampigia TL ili mashekh wetu wanaoteswa Bure wapelekwe mahakamani na wahukumiwe kisheriaTangu mh Tundu Lissu arejee nchini mwezi Agosti, amekuwa akitoa matamko mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa yameweza ku reshape approach ya serekali ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa mambo yake kadhaa.
Hii imepelekea makundi mbalimbali katika jamii ya Watanzania kunufaika kwa namna moja ama nyingine. Tafsiri ya hili ni kwamba bila ya intervention ya Lissu serekali isingeweza kuchukua hatua stahiki kwa manufaa ya makundi haya.
Makundi haya lazima yatakuwa yameshatambua mchango wa Lissu katika ufanikishwaji wa yale waliyokuwa wanayahitaji kutoka serekalini bila mafanikio kwa miaka yote 5 iliyopita.
Nina uhakika akilini mwao watakuwa wanajiuliza "Kama Tundu Lissu amewezesha haya ilihali hayuko madarakani, je haitakuwa zaidi pale atakapokuwa madarakani? Kwa nini tusimpe nchi kabisa tunufaike pakubwa zaidi?"
1. Walimu 13'000 ambao serekali imetangaza kuwapa ajira mpya - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu
2. Wafanyabiashara waliopewa msaada wa sh milioni 100 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu
3. Wananchi walioahidiwa kujengewa barabara ya km 46 (Sengerema - Nyehunge) - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.
4. Wananchi wa Itigi walioahdiwa kujengewa barabara ya km 16 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu
5. Wamachinga ambao Magufuli kawaambia si lazima tena kulipia elfu 20 kupata kitambulisho - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.
6. Askofu Niwemugizi aliyerejeshewa passport yake baada ya Lissu kupiga spana - huyu pamoja na waumini wake na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu
7. Kuanzia mwezi huu mshahara kima cha chini serekalini umepanda kutoka 170,000 hadi 270,000 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu
8. Kwa mara ya kwanza (baada ya kuwa anawafokea tu kwa miaka 5) Watanzania wamemwona mgombea urais wa CCM akiongea nao kwa kuwabembeleza - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.
9. Ni makundi hayo tu kwa uchache, lakini yapo mengi unaweza kuongeza mengine.
Watz hawamtaki huyu dikteta mshamba na limbukeni....Baada ya tarehe 28 Oct mtazifahamu rangi zote hata na harufu zake.
Hao Watz ndo utawaelewa haswaaa.
Hawa ndio wameshakua na watakua chanzo cha uvunjifu wa amani sio sisiLakini anao wale aliowateua, aliowapa magari na mishahara minono ambao ndio wasemaji kwa niaba ya NEC na kauli yao haipingwi popote!! Hao je nani atawadhibiti watende haki? Ngoma nzito hii!