Uchaguzi 2020 Ukiondoa Wana - CHADEMA na wafuasi wake mwenyewe, Tundu Lissu atapata kura nyingine nyingi kutoka kwa hawa

Lissu kanyoosha nchi mpaka sasa.

Wamachinga watampa kura zao na uzuri wako wengi nchi nzima hivyo watachangia sana kumuangusha Magufuli.
Waliotumbuliwa na vyeti fake wakumbusheni jinsi walivyoonewa halafu mmoja wao akaendelea kula bata hadi hapo majuzi wamempunzisha kiaina kufunika hoja ya upendeleo.
 
Umeongea point sana, huu ndio ukweli wa mambo bila Lissu ingekula sana kwetu. Mungu mkubwa na ametenda miujiza kwa kuokoa maisha ya Lissu ili aje kutuponya watanzania toka kwa madhalimu CCM.
 
8. Wakulima waliodhulumiwa korosho yao na Kahawa sasa wataweza kuuza mazao yao popote pale penye soko duniani na hii itasaidia kuondoa u- monopoly market ulioanzishwa na ccm nao watampigia kura Tundu Antipas Lissu

Hii ilikuwa sera ya Membe iliyomfanya ajajikuta anahutubia jukwaa alilopanda kuhutubia. Hivi mwawaona wakulima wa korosho ni wajinga sana kujua dhamira njema ya JPM na serekali kwao!!?
 
Tangu mh Tundu Lissu arejee nchini mwezi August, amekuwa akitoa matamko mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa yameweza ku reshape approach ya serekali ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa mambo yake kadhaa.

Hii imepelekea makundi mbalimbali katika jamii ya Watanzania kunufaika kwa namna moja ama nyingine. Tafsiri ya hili ni kwamba bila ya intervention ya Lissu serekali isingeweza kuchukua hatua stahiki kwa manufaa ya makundi haya.

Makundi haya lazima yatakuwa yameshatambua mchango wa Lissu katika ufanikishwaji wa yale waliyokuwa wanayahitaji kutoka serekalini bila mafanikio kwa miaka yote 5 iliyopita.

Nina uhakika akilini mwao watakuwa wanajiuliza "Kama Tundu Lissu amewezesha haya ilihali hayuko madarakani, je haitakuwa zaidi pale atakapokuwa madarakani? Kwa nini tusimpe nchi kabisa tunufaike pakubwa zaidi?"

1. Walimu 13'000 ambao serekali imetangaza kuwapa ajira mpya - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu

2. Wafanyabiashara waliopewa msaada wa sh milioni 100 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu

3. Wananchi walioahidiwa kujengewa barabara ya km 46 (Sengerema - Nyehunge) - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.

4. Wananchi wa Itigi walioahdiwa kujengewa barabara ya km 16 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu

5. Wamachinga ambao Magufuli kawaambia si lazima tena kulipia elfu 20 kupata kitambulisho - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.

6. Askofu Niwemugizi aliyerejeshewa passport yake baada ya Lissu kupiga spana - huyu pamoja na waumini wake na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu

7. Kuanzia mwezi huu mshahara kima cha chini serekalini umepanda kutoka 170,000 hadi 270,000 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu

8. Kwa mara ya kwanza (baada ya kuwa anawafokea tu kwa miaka 5) Watanzania wamemwona mgombea urais wa CCM akiongea nao kwa kuwabembeleza - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.

9. Ni makundi hayo tu kwa uchache, lakini yapo mengi unaweza kuongeza mengine.
Hata mimi afamilia yangu tutampigia kura TAL .
Nimeathiriwa na mfumo kandamizi wa ukusanyaji kodi wa serikali ya jiwe..mpaka nikafikia kufunga kakibanda kangu kabiashara.
 
LISSU KAJUA KUMNYOOSHA MEKO.... LISSU NI KIBOKO YA MAFEDHULI NA MADIKTETA UCHWARA WOTE..... Makombora anayorusha Lissu ni kama ya North Korea aina ya Hwasong_19 au Taepedong.... Hayavumiliki mpaka Meko anajibu! Hakuna cha UVCCM wala UWT wote wanaogopa kujibu wanamwachia JIWE apambane na hali yake
 
Tangu mh Tundu Lissu arejee nchini mwezi Agosti, amekuwa akitoa matamko mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa yameweza ku reshape approach ya serekali ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa mambo yake kadhaa.

Hii imepelekea makundi mbalimbali katika jamii ya Watanzania kunufaika kwa namna moja ama nyingine. Tafsiri ya hili ni kwamba bila ya intervention ya Lissu serekali isingeweza kuchukua hatua stahiki kwa manufaa ya makundi haya.

Makundi haya lazima yatakuwa yameshatambua mchango wa Lissu katika ufanikishwaji wa yale waliyokuwa wanayahitaji kutoka serekalini bila mafanikio kwa miaka yote 5 iliyopita.

Nina uhakika akilini mwao watakuwa wanajiuliza "Kama Tundu Lissu amewezesha haya ilihali hayuko madarakani, je haitakuwa zaidi pale atakapokuwa madarakani? Kwa nini tusimpe nchi kabisa tunufaike pakubwa zaidi?"

1. Walimu 13'000 ambao serekali imetangaza kuwapa ajira mpya - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu

2. Wafanyabiashara waliopewa msaada wa sh milioni 100 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu

3. Wananchi walioahidiwa kujengewa barabara ya km 46 (Sengerema - Nyehunge) - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.

4. Wananchi wa Itigi walioahdiwa kujengewa barabara ya km 16 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu

5. Wamachinga ambao Magufuli kawaambia si lazima tena kulipia elfu 20 kupata kitambulisho - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.

6. Askofu Niwemugizi aliyerejeshewa passport yake baada ya Lissu kupiga spana - huyu pamoja na waumini wake na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu

7. Kuanzia mwezi huu mshahara kima cha chini serekalini umepanda kutoka 170,000 hadi 270,000 - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu

8. Kwa mara ya kwanza (baada ya kuwa anawafokea tu kwa miaka 5) Watanzania wamemwona mgombea urais wa CCM akiongea nao kwa kuwabembeleza - hawa na wategemezi wao wote watampigia kura Tundu Lissu.

9. Ni makundi hayo tu kwa uchache, lakini yapo mengi unaweza kuongeza mengine.
10,Waislamu wote ambao sio wanafiki kama BAKWATA watampigia TL ili mashekh wetu wanaoteswa Bure wapelekwe mahakamani na wahukumiwe kisheria
Takbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah itakua kheri
 
Baada ya tarehe 28 Oct mtazifahamu rangi zote hata na harufu zake.
Hao Watz ndo utawaelewa haswaaa.
Watz hawamtaki huyu dikteta mshamba na limbukeni....

Sema tutazijui rangi za NEC mkuu
 
Lakini anao wale aliowateua, aliowapa magari na mishahara minono ambao ndio wasemaji kwa niaba ya NEC na kauli yao haipingwi popote!! Hao je nani atawadhibiti watende haki? Ngoma nzito hii!
Hawa ndio wameshakua na watakua chanzo cha uvunjifu wa amani sio sisi
 
Back
Top Bottom