Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Tanzania ukiondoa Waafrika weusi kama akina Bakhresa Na Mohammed Dewji je? HahahahaKuna atakayebisha hapo, kwamba kama ukisema (kinadharia) Wazungu na Wahindi siyo Wakenya nakwamba uwaondoe kwenye equation, Uchumi wa Kenya utabakia Maziwa ya Uhuru Kenya tu, ...
[emoji44][emoji44]
The magical Handshake😀😀😀😀
I don't reply to economic threads that don't have data. Data iko wapi mzeeKuna atakayebisha hapo, kwamba kama ukisema (kinadharia) Wazungu na Wahindi siyo Wakenya na kwamba uwaondoe kwenye equation, Uchumi wa Kenya utabakia Maziwa ya Uhuru Kenya tu, utakuwa sawa na Lesotho kwa ukubwa, ...
Namaanisha wapi report uliyotegemea kufungua hii thread. Tukianza kujadili mambo ambayo hayajafanyiwa utafiti basi hakutakuwa na tofauti kati yetu na wamama sokoni wanapoongea jinsi waume wao hawawezi kazi kitandani. Yaani inakuwa ni kama tunasengenyana tu.85% ni data!
Na Tanzania ukiondoa Waafrika weusi kama akina Bakhresa Na Mohammed Dewji je? Hahahaha
If you remove the Arabs Tanzania is non-existentKuna atakayebisha hapo, kwamba kama ukisema (kinadharia) Wazungu na Wahindi siyo Wakenya na kwamba uwaondoe kwenye equation, Uchumi wa Kenya utabakia Maziwa ya Uhuru Kenya tu, utakuwa sawa na Lesotho kwa ukubwa, ...
Hao Wahindi na Wazungu ni Wakenya maana maana wao hawajawahi kuondoka Kenya tangu waingie na ukoloni.Kuna atakayebisha hapo, kwamba kama ukisema (kinadharia) Wazungu na Wahindi siyo Wakenya na kwamba uwaondoe kwenye equation, Uchumi wa Kenya utabakia Maziwa ya Uhuru Kenya tu, utakuwa sawa na Lesotho kwa ukubwa, ...
LOL hapa niseme tu ukweli.........90% of Tanzanian companies boss either ni mwarabu au mhindi. I know this from first hand experience. Kweli nyani haoni kundule!
Not true, fake data, angalia matajiri wakubwa wote TZ, kila wilaya na mkoa, uje utuambie..If you remove the Arabs Tanzania is non-existent
By boss nlimaanisha mwenye kampuniHiv unajua. Kampuni inaweza kuwa ya mtanzania mweusi na bado akaajiri ceo mwarabu au muhindi coz wako serious na kazi na jua kampuni nyng za wa Tz weusi ambazo ceo ni mwarabu au muhindi wa Tz
Kwani hawa Waarabu na wahindi sio wa Tz? Muhumu ni wawe wanalipa kodi na serikali ya Mkuu isiwape special treatment. Hapa kenya mambo yapo hivo tu ila kwa sasa waafrica wameanza kuwatoa jasho wahindi..Asians are normaly very unprofessional and depend on tax evasion for profits, their businesses are going down e.g Nakumatt while African businesses like Tuskys Supermarket are Rising rapidlyLOL hapa niseme tu ukweli.........90% of Tanzanian companies boss either ni mwarabu au mhindi. I know this from first hand experience. Kweli nyani haoni kundule!
Sikujua sometimes you talk sense😀😀😀😀😀Kwani hawa Waarabu na wahindi sio wa Tz? Muhumu ni wawe wanalipa kodi na serikali ya Mkuu isiwape special treatment. Hapa kenya mambo yapo hivo tu ila kwa sasa waafrica wameanza kuwatoa jasho wahindi..Asians are normaly very unprofessional and depend on tax evasion for profits, their businesses are going down e.g Nakumatt while African businesses like Tuskys Supermarket are Rising rapidly