Ukiondoa Wazungu na Wahindi GDP ya Kenya inasinyaa kwa 85%!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Kuna atakayebisha hapo, kwamba kama ukisema (kinadharia) Wazungu na Wahindi siyo Wakenya na kwamba uwaondoe kwenye equation, Uchumi wa Kenya utabakia Maziwa ya Uhuru Kenya tu, utakuwa sawa na Lesotho kwa ukubwa, ...
 
name-a-brainless-person-insert-brain-her-follow-our-new-30620882.png
 
Kuna atakayebisha hapo, kwamba kama ukisema (kinadharia) Wazungu na Wahindi siyo Wakenya na kwamba uwaondoe kwenye equation, Uchumi wa Kenya utabakia Maziwa ya Uhuru Kenya tu, utakuwa sawa na Lesotho kwa ukubwa, ...
I don't reply to economic threads that don't have data. Data iko wapi mzee
 
85% ni data!
Namaanisha wapi report uliyotegemea kufungua hii thread. Tukianza kujadili mambo ambayo hayajafanyiwa utafiti basi hakutakuwa na tofauti kati yetu na wamama sokoni wanapoongea jinsi waume wao hawawezi kazi kitandani. Yaani inakuwa ni kama tunasengenyana tu.
 
Kuna atakayebisha hapo, kwamba kama ukisema (kinadharia) Wazungu na Wahindi siyo Wakenya na kwamba uwaondoe kwenye equation, Uchumi wa Kenya utabakia Maziwa ya Uhuru Kenya tu, utakuwa sawa na Lesotho kwa ukubwa, ...
If you remove the Arabs Tanzania is non-existent
 
Tanzania have tremendously enclusive economy # the black Tanzanian controlling economy by 79%
 
Kuna atakayebisha hapo, kwamba kama ukisema (kinadharia) Wazungu na Wahindi siyo Wakenya na kwamba uwaondoe kwenye equation, Uchumi wa Kenya utabakia Maziwa ya Uhuru Kenya tu, utakuwa sawa na Lesotho kwa ukubwa, ...
Hao Wahindi na Wazungu ni Wakenya maana maana wao hawajawahi kuondoka Kenya tangu waingie na ukoloni.
 
katika hili hakuna wa kumcheka mwenzake. Roho mbaya ya mtu mweusi ndio inayo tu affect hizi nchi zetu, Hapa nyumbani Nyerere aliwanyanganya karibia wahindi wote biashara na viwanda lakin sasa wao ndo wanatamba katika biashara. Kwa kuzingatia hali kama hii utagundua tu roho mbaya na ubinafsi ndio zinazosababisha nchi zetu kuwa hapa zilipo kwa mtu mweusi ni bora muhindi afanikiwe lakin sio mwaAfrika mwenzake afanikiwe SHIT HOLE NATIONS
 
LOL hapa niseme tu ukweli.........90% of Tanzanian companies boss either ni mwarabu au mhindi. I know this from first hand experience. Kweli nyani haoni kundule!

Hiv unajua. Kampuni inaweza kuwa ya mtanzania mweusi na bado akaajiri ceo mwarabu au muhindi coz wako serious na kazi na jua kampuni nyng za wa Tz weusi ambazo ceo ni mwarabu au muhindi wa Tz
 
By boss nlimaanisha mwenye kampuni
 
LOL hapa niseme tu ukweli.........90% of Tanzanian companies boss either ni mwarabu au mhindi. I know this from first hand experience. Kweli nyani haoni kundule!
Kwani hawa Waarabu na wahindi sio wa Tz? Muhumu ni wawe wanalipa kodi na serikali ya Mkuu isiwape special treatment. Hapa kenya mambo yapo hivo tu ila kwa sasa waafrica wameanza kuwatoa jasho wahindi..Asians are normaly very unprofessional and depend on tax evasion for profits, their businesses are going down e.g Nakumatt while African businesses like Tuskys Supermarket are Rising rapidly
 
Sikujua sometimes you talk sense😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom