Ukiota ndotoni upo na Mheshimiwa Rais - hii ina maana gani?

Kama uliota ndoto upo mazingira ya shule na wew ulisha maliza shule ina mana kwamba roho zinataka kukurudisha nyuma usifikie utajiri
Last year niliota NDOTO nipo nafanya mtihani wa chemistry Mimi na mdogo wangu wa toka ni toke mtiani ulikua mgumu nikawa nimeomba msaada wa majibu kwa mdogo wangu akanipa nikawa imebaki nususaa na maswali mengi sikua nimeyajibu..dogo akawa ananipa majibu mpaka nikamaliza pepa under pressure...

Asubuh ndoto ilinifikirisha Sanaa....siku simulia Ila siku iyo jioni nilipata ajari ya kugongea na gari na kuvunjika mguu wa kushoto...niliwasimulia watu NDOTO then two weeks later dogo akapata na yeye ajar akavunjika mkono..

In short NDOTO za kurudi shule huwa sio nzurii
 
Pole sana
Siku nyingine ukiota hiyo ndoto omba Toba halafu kemea kwa damu ya YESU shetani asiweze kukurudisha nyuma
 
SIJUI saana jinsi ya kufasiri ndoto ila ingia kwenye maombi, omba kwa jna la yesu kila analotaka Mungu LITOKEE kwenye maisha yako, ndoto ni bayana, ukiotA NDOTO mbaya huwa inatokea na huwa tuna waambia watu waombe kuzuia isitokee, pia kama ni ndoto nzuri bas omba mungu yamkini kuna sehem na sku utaja msaidia rais eneo furani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…