Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Jibu rahisi tu, siwezi ku survive bila kuwa na income. Kazi yoyote lazima iwe na ujira kisheria.kuna mmoja ali niuliza ikitokea kampuni ika yumba utakua tayari kuvumilia kufanya kazi bila mshahara na kuto dai malipo yako
πππHaya ndo majibu yangu nayoyapenda kuwapaga watu πUnamuuliza ungekuwa wewe ungebaki?
ππππππππUnamuuliza ungekuwa wewe ungebaki?
Tena wanataka jibu liwe Yes or No.Katika usaili wa kazi kunakuwaga na maswali ya mtego sana. Mfano ndio umeulizwa hivyo sasa unawajibu vipi ili usikose hiyo kazi?
UnafikiJibu hivi..
Hapana.
mshahara bora sio hitaji pekee la mfanyakaz makini,Bali mazingira bora na yanayoruhusu mfanyakazi kuonyesha uwezo wake wa kuisaidia kampuni kukua na kunufaika pamoja kama washirika.