Ukipata kazi inayokulipa zaidi yetu utaacha kazi hapa?: Unajibu vipi swali hili kwenye Interview?

Ukipata kazi inayokulipa zaidi yetu utaacha kazi hapa?: Unajibu vipi swali hili kwenye Interview?

Huo ni mtego hutakiwi kusema ndio cha msingi elezea kutimiza malengo ya taasisi na improvement ya Career yako .
 
Jibu hivi..

Hapana.
mshahara bora sio hitaji pekee la mfanyakaz makini,Bali mazingira bora na yanayoruhusu mfanyakazi kuonyesha uwezo wake wa kuisaidia kampuni kukua na kunufaika pamoja kama washirika.
Unafiki
 
kama iyo kazi imepatikana kutokana na ufanyaji kazi wangu bora kwenye kampuni yako nitaangalia kama naweza kuifanya iyo kampuni mpya kuwa bora kama hii ninayoiacha
 
Back
Top Bottom