Ukipata milioni unaila siku tatu, ikibaki elfu kumi unaishi nayo week. Hii kitaalam mnaiitaje?

Ukipata milioni unaila siku tatu, ikibaki elfu kumi unaishi nayo week. Hii kitaalam mnaiitaje?

Ukizifuga kuna mpuuzi atakuja kuzifuja km aliwahi kuzitafuta
hamna kitu nafurahia katika utafutaji wangu kama kuona watu wangu wa karibu kama watoto,ndugu,wazazi na jamaa wanafaidi vilivyo nilivyovisotea mimi, habari za kufuja mali zangu wakati nimekufa haitanidhuru kwa lolote lile, kikubwa tu maisha yangu yamekuwa mfano wa kuigwa na mtu yeyeto mwenye akili timamu....
 
Nimekwambia ukizifuga kuna mpuuzi atakuja kuzifuja sijasema uzitumie vipi na kwa nani
 
na mimi nimekwambia hamna kitu nafurahia kama kuona mpuuzi mmoja ambaye ni mtu wangu wa karibu anafuja mali zangu vilivyo...
Hakuna tajiri wa hivyo wewe utakua kapuku mmoja hivi, tajiri hata watoto wanawekewa mkazo hakuna kuchezea Pesa ovyo bila kuifanyia kitu cha maana chenye kuleta faida
 
Hakuna tajiri wa hivyo wewe utakua kapuku mmoja hivi, tajiri hata watoto wanawekewa mkazo hakuna kuchezea Pesa ovyo bila kuifanyia kitu cha maana chenye kuleta faida
Wapi nimekwambia mi tajiri?...
 
Hata sielewi mi mwenyewe Nimejikuta nimekua na matumizi mabaya ya pesa kupindukia ndani ya wiki hizi 5 tangu mwaka uanze sijui nimekumbwa na nini
 
Rafiki yangu anafanya kazi mgodi mkubwa huko geita..analipwa mil4 analipiwa ada za watoto kila mtoto mil2.5 anapewa hela ya kodi laki9 kila mwezi, anapewa hela ya matumizi ya nyumbani laki3 kila mwezi anapewa bonas za skukuu na holiday, anapewa bima ya afya first class yeye pamoja na familia nzima lakini ananikopa sana na huwa anakuwa na madeni mpaka mil3 kwenye bars mbalimbali na hajajenga..hivyo hapo ni nidhamu ya pesa tu haujarogwa.
 
No, it is not true. Eating money will not solve any problems you may have. Money is a form of currency that is used for transactions and as a medium of exchange. It has value because people agree to accept it in exchange for goods and services. Eating money will not address the underlying issues or challenges you may be facing. Instead, it is important to seek appropriate solutions and strategies to tackle your problems. This may involve seeking advice, support, or taking practical steps towards resolving the issues you are facing.
Natumaini ulikuwa unapasua sana essay🤣
 
Mchoro umetiki umepata kazi ukalipwa million hela haichukui siku mbili ya tatu chali umebaki na hewa hamna kitu ila ka elfu ulichobakiza kanadumu hata siku nne bila shida, unakabembeleza leo 2000, kesho umetumia 3000 keshokutwa 3000 na nyumbani hutoki siku nzima.

Kwanini hatuna ile roho ya kwamba hela imeingia Tayari ni yangu kwa sasa niachane nayo hiyo millioni nianze kusuka michongo mingine ya kupata nyingine.Hata kama kazi na bata ila million nyingi ukiwekeza kula nyama Choma na vya kunoga noga walahu ufaidi hata week tatu basi ila Duuh sio poa yaani siku tatu unabakia lofa.
Akili mbofu a.k.a akili matope🤭.
 
Back
Top Bottom