hamna kitu nafurahia katika utafutaji wangu kama kuona watu wangu wa karibu kama watoto,ndugu,wazazi na jamaa wanafaidi vilivyo nilivyovisotea mimi, habari za kufuja mali zangu wakati nimekufa haitanidhuru kwa lolote lile, kikubwa tu maisha yangu yamekuwa mfano wa kuigwa na mtu yeyeto mwenye akili timamu....Ukizifuga kuna mpuuzi atakuja kuzifuja km aliwahi kuzitafuta
Nimekwambia ukizifuga kuna mpuuzi atakuja kuzifuja sijasema uzitumie vipi na kwa nanihamna kitu nafurahia katika utafutaji wangu kama kuona watu wangu wa karibu kama watoto,ndugu,wazazi na jamaa wanafaidi vilivyo nilivyovisotea mimi, habari za kufuja mali zangu wakati nimekufa haitanidhuru kwa lolote lile, kikubwa tu maisha yangu yamekuwa mfano wa kuigwa na mtu yeyeto mwenye akili timamu....
na mimi nimekwambia hamna kitu nafurahia kama kuona mpuuzi mmoja ambaye ni mtu wangu wa karibu anafuja mali zangu vilivyo...Nimekwambia ukizifuga kuna mpuuzi atakuja kuzifuja sijasema uzitumie vipi na kwa nani
Hakuna tajiri wa hivyo wewe utakua kapuku mmoja hivi, tajiri hata watoto wanawekewa mkazo hakuna kuchezea Pesa ovyo bila kuifanyia kitu cha maana chenye kuleta faidana mimi nimekwambia hamna kitu nafurahia kama kuona mpuuzi mmoja ambaye ni mtu wangu wa karibu anafuja mali zangu vilivyo...
Wapi nimekwambia mi tajiri?...Hakuna tajiri wa hivyo wewe utakua kapuku mmoja hivi, tajiri hata watoto wanawekewa mkazo hakuna kuchezea Pesa ovyo bila kuifanyia kitu cha maana chenye kuleta faida
Natumaini ulikuwa unapasua sana essay🤣No, it is not true. Eating money will not solve any problems you may have. Money is a form of currency that is used for transactions and as a medium of exchange. It has value because people agree to accept it in exchange for goods and services. Eating money will not address the underlying issues or challenges you may be facing. Instead, it is important to seek appropriate solutions and strategies to tackle your problems. This may involve seeking advice, support, or taking practical steps towards resolving the issues you are facing.
Akili mbofu a.k.a akili matope🤭.Mchoro umetiki umepata kazi ukalipwa million hela haichukui siku mbili ya tatu chali umebaki na hewa hamna kitu ila ka elfu ulichobakiza kanadumu hata siku nne bila shida, unakabembeleza leo 2000, kesho umetumia 3000 keshokutwa 3000 na nyumbani hutoki siku nzima.
Kwanini hatuna ile roho ya kwamba hela imeingia Tayari ni yangu kwa sasa niachane nayo hiyo millioni nianze kusuka michongo mingine ya kupata nyingine.Hata kama kazi na bata ila million nyingi ukiwekeza kula nyama Choma na vya kunoga noga walahu ufaidi hata week tatu basi ila Duuh sio poa yaani siku tatu unabakia lofa.
Kwamba wafanyabiashara wa kikinga wote wanaweza hyo.?? Na wanawezaje.?Mtafute mfanyabiasha Mkinga kariakoo umuulize
Umewezaje kuishi maisha yale yale pamoja na kuongezeka kwa kipato chako
Hapa utapata jibu