Ukipata muda nenda katembelee makaburi ya wazazi au ndugu zako

Ukipata muda nenda katembelee makaburi ya wazazi au ndugu zako

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Kuna baraka nyingi unavyokuwa unatembelea makaburi wazazi au ndugu zako ambao uliwaona kwa macho yako mwenyewe walikuwa wanafanya mema hapa duniani.

Jitahidi kutembelea mara kwa mara ata kusafisha kaburi endelea kumuombea marehemu kwa Mungu wa mbinguni kuna baraka nyingi.
 
Kuna baraka nyingi unavyokuwa unatembelea makaburi wazazi au ndugu zako ambao uliwaona kwa macho yako mwenyewe walikuwa wanafanya mema hapa duniani jitahidi kutembelea mara kwa mara ata kusafisha kaburi endelea kumuombea marehemu kwa Mungu wa mbinguni
Kuna baraka nyingi
Binafsi yangu naenda kwenye chimbuko langu ili nikumbuke nilipotoka, na hivyo nafanya hivyo ili kutembelea mahali ambapo pananikumbusha furaha, huzuni na kumbukumbu za walionilea na kunikuza lakini sipo nao tena
 
Binafsi yangu naenda kwebye chimbuko langu ili nikumbuke nilipotoka, na hivyo nafanya hivyo ili kutembelea mahali ambapo pananikumbusha furaha, huzuni na kumbukumbu za walionilea na kunikuza lakini sipo nao tena
Usisahau kutoa chochote kwenye chimbuko hilo hasa kwa wahitaji
 
Back
Top Bottom