Ukipata muda nenda katembelee makaburi ya wazazi au ndugu zako

Ukipata muda nenda katembelee makaburi ya wazazi au ndugu zako

Huyo huyo aliyewaonya ndiye walitaka kwenda kuupaka mwili wake, ni katika kuuhifadhi vema tu na sio kuchuma baraka..... hata hivyo hawakumkuta.
Kuhusu ..."kuuhifadhi vema tu"...!Unahifadhi mwili uliokufa kwa mategemeo gani?Kuna kikomo katika muda wa kwenda kuupaka mafuta huo mwili?Kuna tofauti gani na kuabudu marehemu?
cc:Chagaz.
 
Mungu amesema wapi anatoa baraka ukifanya hivo? Niambie kusafisha tu mazingira ya eneo lake lakini hizo ahadi za baraka zimeandikwa wapi?

Wewe kumbe ni wahuku eeeh ndo maana unatushambuliaga na kuhoji hoji kwa Mungu wetu aliyehai.
Mimi sipo huku wala kule , hao wote ni wasanii tu🤣
 
Kuna baraka nyingi unavyokuwa unatembelea makaburi wazazi au ndugu zako ambao uliwaona kwa macho yako mwenyewe walikuwa wanafanya mema hapa duniani jitahidi kutembelea mara kwa mara ata kusafisha kaburi endelea kumuombea marehemu kwa Mungu wa mbinguni
Kuna baraka nyingi
katembelee vituo vya watoto yatima,wajane na wazee utapata baraka,achana na ibada ya umizimu wafu hawajui kitu chochote usipende kuwa upande wa wajinga.
Mhubiri 9:5 Maana, walio hai hujua ya kwamba watakufa, lakini wafu hawajui chochote. Hawana tuzo tena; hata kumbukumbu lao limesahauliwa kabisa.
 
Kuhusu ..."kuuhifadhi vema tu"...! Unahifadhi mwili uliokufa kwa mategemeo gani? Kuna kikomo katika muda wa kwenda kuupaka mafuta huo mwili?Kuna tofauti gani na kuabudu marehemu?
cc:Chagaz.
Kuuhifadhi mwili ni ile kuzika, enzi zao ilikuwa ilifanyika kwa namna yake [kuweka mwili pangoni]..... hivyo pengine kulikuwa na namna kuufikia mwili uliozikwa jana.

Kuupaka mafuta hata leo hii inafanyika, na marashi ya uvumba hapa mochwari..... lakini haina maana ya kuabudu marehemu.

Hiyo ya kuendelea kufanya ibada kaburini kwa lengo la kuwakumbuka, kuwaombea na kuwaomba marehemu ndo ibada haramu.
 
Unakumbuka wakati Lazaro alipofufuliwa na Yesu?Kabla hajafufuliwa,hali halisi ilionesha alikuwa "ameharibika"(kuoza?).Kwa hiyo upwakwaji mafuta haukufanywa kwa wafu wote?Kulikuwa na ubaguzi,siyo?
 
Unakumbuka wakati Lazaro alipofufuliwa na Yesu?Kabla hajafufuliwa,hali halisi ilionesha alikuwa "ameharibika"(kuoza?).Kwa hiyo upwakwaji mafuta haukufanywa kwa wafu wote?Kulikuwa na ubaguzi,siyo?
Kuhusu Lazaro Yesu aliwaambia hajafa, bali amelala akamwamsha.... hivyo kifo chake kilikuwa hakijathibitishwa (hata sasa mwenye mamlaka ya kuthibitisha kifo ni daktari).

Kuhusu ubaguzi, utapakwa mafuta kulingana na hadhi yako..... vivyo hivyo enzi zile sio wafu wote walipewa hadhi sawa.
 
Madaktari wao walikuwa ni tatizo.Hadi mwili unatoa harufu(na funza?)wao bado wakagoma?🤣🤣🤣
 
Kuna baraka nyingi unavyokuwa unatembelea makaburi wazazi au ndugu zako ambao uliwaona kwa macho yako mwenyewe walikuwa wanafanya mema hapa duniani.

Jitahidi kutembelea mara kwa mara ata kusafisha kaburi endelea kumuombea marehemu kwa Mungu wa mbinguni kuna baraka nyingi.
Waafrika tunaita mizimu,wazungu Saints,
 
Back
Top Bottom