Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Amen!Kuna baraka nyingi unavyokuwa unatembelea makaburi wazazi au ndugu zako ambao uliwaona kwa macho yako mwenyewe walikuwa wanafanya mema hapa duniani jitahidi kutembelea mara kwa mara ata kusafisha kaburi endelea kumuombea marehemu kwa Mungu wa mbinguni
Kuna baraka nyingi
Acha ubishi fake p wetu wewe nenda🤣Baraka anazitoa nani hizo? Samahani unamuombea nini?
Binafsi yangu naenda kwenye chimbuko langu ili nikumbuke nilipotoka, na hivyo nafanya hivyo ili kutembelea mahali ambapo pananikumbusha furaha, huzuni na kumbukumbu za walionilea na kunikuza lakini sipo nao tenaKuna baraka nyingi unavyokuwa unatembelea makaburi wazazi au ndugu zako ambao uliwaona kwa macho yako mwenyewe walikuwa wanafanya mema hapa duniani jitahidi kutembelea mara kwa mara ata kusafisha kaburi endelea kumuombea marehemu kwa Mungu wa mbinguni
Kuna baraka nyingi
Baraka anazitoa Mungu hapa naongelea marehemu ambao wamekufa ukiwa unawaona siongelei makaburi ya mababuBaraka anazitoa nani hizo? Samahani unamuombea nini?
Min ake sijabisha bado😂😂 nataka nijue anayetoa baraka kwanza na ninamuombea nini?Acha ubishi fake p wetu wewe nenda🤣
Usisahau kutoa chochote kwenye chimbuko hilo hasa kwa wahitajiBinafsi yangu naenda kwebye chimbuko langu ili nikumbuke nilipotoka, na hivyo nafanya hivyo ili kutembelea mahali ambapo pananikumbusha furaha, huzuni na kumbukumbu za walionilea na kunikuza lakini sipo nao tena
Fake ake wewe nenda tu usiulize ulize na kugeuka nyuma utakua jiwe la chumvi 🤣🤣🤣🤣🤣Min ake sijabisha bado😂😂 nataka nijue anayetoa baraka kwanza na ninamuombea nini?
Mtakatifu aliekufa hapo kwenye kaburi hata km aliuawa kwa kuchomwa moto kwa kesi ya wizi huwezi jua labda alisingiziwa au kuna kidemu tu kilimpigia mwano kwa sababu za kimapenzi jamaa akapigwa tairiBaraka anazitoa nani hizo? Samahani unamuombea nini?
Mungu amesema wapi anatoa baraka ukifanya hivo? Niambie kusafisha tu mazingira ya eneo lake lakini hizo ahadi za baraka zimeandikwa wapi?Baraka anazitoa Mungu hapa naongelea marehemu ambao wamekufa ukiwa unawaona siongelei makaburi ya mababu
Wewe kumbe ni wahuku eeeh ndo maana unatushambuliaga na kuhoji hoji kwa Mungu wetu aliyehai.Fake ake wewe nenda tu usiulize ulize na kugeuka nyuma utakua jiwe la chumvi 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani Maria Magdalena walienda kufanya nini la muhimu kwenye kaburi la Yesu aliyekwisha kufa?Mungu amesema wapi anatoa baraka ukifanya hivo? Niambie kusafisha tu mazingira ya eneo lake lakini hizo ahadi za baraka zimeandikwa wapi?
Zimeandikwa kwenye behewa la mwisho kule nenda ukasomeMungu amesema wapi anatoa baraka ukifanya hivo? Niambie kusafisha tu mazingira ya eneo lake lakini hizo ahadi za baraka zimeandikwa wapi?
Mtakatifu amekufa zake amelala fofofo anatoaje baraka? Nielekeze vizuri broMtakatifu aliekufa hapo kwenye kaburi hata km aliuawa kwa kuchomwa moto kwa kesi ya wizi huwezi jua labda alisingiziwa au kuna kidemu tu kilimpigia mwano kwa sababu za kimapenzi jamaa akapigwa tairi
Imeandikwa walienda kuupaka mwili mafuta wa Bwana waoKwani Maria Magdalena walienda kufanya nini la muhimu kwenye kaburi la Yesu aliyekwisha kufa?
Wewe inabidi upigwe usinga kwenye medulaMtakatifu amekufa zake amelala fofofo anatoaje baraka? Nielekeze vizuri bro