Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Usiwashangae wamorocco kuvamia Spain, zaidi ya wamorocco 3000 wameingia Spain Kwa kuvuka bahari, licha ya Morocco kufahamika Kwa mazuri yake, ni Moja Kati ya nchi ambayo ni tofauti na nchi zetu wamepiga hatua na wametuacha mbali kidogo, lakini watu Kila siku wanazama baharini wakitafuta maisha mazuri.
Vipi katika nchi yenu ambayo mtu akicomment Facebook kuhusu utawala anaitwa gaidi au mhaini? Nchi ambayo ukishapewa ticket ya kuwa rais basi unageuka na kuwa Mungu? Mfano nikiwa rais kwenye nchi zenu za Africa nikisema huyu jamaa ananichefua sitaki kumuona, basi unashushwa kaburini chap, hahaha
Usiwacheke na kuwashangaa wamorocco uko hapo ulipo kwasababu huna namna, lakini ungekuwa mpakani basi ungekimbia chaaap na ungekuwa miongoni mwa hao wanaokimbilia ulaya.