Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Mimi na mgogoro na makebo yako wewe bidadaHao wana mgogoro na Spain
Wametumwa na serilakli yao
Morocco anaitaka hio sehemu iko nchini kwao hala Spain anajifanya ni yake
View attachment 3640858
Sasa hivi watu wamefaidi hali ya kisiasa hapa nchini na kuomba Ukimbizi USA na EU contries ili kupata makaratasi. Kufa kufaanaUsiwashangae wamorocco kuvamia Spain, zaidi ya wamorocco 3000 wameingia Spain Kwa kuvuka bahari, licha ya Morocco kufahamika Kwa mazuri yake, ni Moja Kati ya nchi ambayo ni tofauti na nchi zetu wamepiga hatua na wametuacha mbali kidogo, lakini watu Kila siku wanazama baharini wakitafuta maisha mazuri.
Vipi katika nchi yenu ambayo mtu akicomment Facebook kuhusu utawala anaitwa gaidi au mhaini? Nchi ambayo ukishapewa ticket ya kuwa rais basi unageuka na kuwa Mungu? Mfano nikiwa rais kwenye nchi zenu za Africa nikisema huyu jamaa ananichefua sitaki kumuona, basi unashushwa kaburini chap, hahaha
Usiwacheke na kuwashangaa wamorocco uko hapo ulipo kwasababu huna namna, lakini ungekuwa mpakani basi ungekimbia chaaap na ungekuwa miongoni mwa hao wanaokimbilia ulaya.
View attachment 3640856
Mmh mbona kama wakimbizi?Usiwashangae wamorocco kuvamia Spain, zaidi ya wamorocco 3000 wameingia Spain Kwa kuvuka bahari, licha ya Morocco kufahamika Kwa mazuri yake, ni Moja Kati ya nchi ambayo ni tofauti na nchi zetu wamepiga hatua na wametuacha mbali kidogo, lakini watu Kila siku wanazama baharini wakitafuta maisha mazuri.
Vipi katika nchi yenu ambayo mtu akicomment Facebook kuhusu utawala anaitwa gaidi au mhaini? Nchi ambayo ukishapewa ticket ya kuwa rais basi unageuka na kuwa Mungu? Mfano nikiwa rais kwenye nchi zenu za Africa nikisema huyu jamaa ananichefua sitaki kumuona, basi unashushwa kaburini chap, hahaha
Usiwacheke na kuwashangaa wamorocco uko hapo ulipo kwasababu huna namna, lakini ungekuwa mpakani basi ungekimbia chaaap na ungekuwa miongoni mwa hao wanaokimbilia ulaya.
View attachment 3640856
Comprehension ni janga la Taifa,Wamorocco matajiri wa baba-mwajuma 😁