Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka.
Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana.
Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea zishindwe. Hii ni siri, sasa wewe bishana na Boss la DP World tuone kama hako ka cv kako katapita pale bandarini, nimekaa palee... Boss lenye nongwa.