Ukipata ofa ya namna hii nenda katoe sadaka kanisani. Ni marufuku kuitumia

Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka.

Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana.

Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea zishindwe. Hii ni siri, sasa wewe bishana na Boss la DP World tuone kama hako ka cv kako katapita pale bandarini, nimekaa palee... Boss lenye nongwa.
Sadaka yako Mchungaji anaitumia kulipia lodge ili amkunje mkeo
 
Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka.

Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana.

Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea zishindwe. Hii ni siri, sasa wewe bishana na Boss la DP World tuone kama hako ka cv kako katapita pale bandarini, nimekaa palee... Boss lenye nongwa.
Mi nashauri kanisani usiipeleke nenda kawape watoto wa mtaani, yatima , walemavu wasiojiweza n.k

Utabarikiwa maradufu kuliko huko makanisani.

Hasa kwa makanisa ya Sasa.
 
Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka.

Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana.

Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea zishindwe. Hii ni siri, sasa wewe bishana na Boss la DP World tuone kama hako ka cv kako katapita pale bandarini, nimekaa palee... Boss lenye nongwa.
Kwani huko arabuni kuna makanisa au waarabu skuhizi mnapenda makanisa baada ya kusaidiwa na moja ya kanisa
 
Back
Top Bottom