Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Acha ubwege wewe. Mchungaji akipaya off hiyo akatoe sandakan wapi?Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka.
Ukupanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana.
Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea zishindwe.
Ona hii kenge maji.Umesahau na Msikitini KENGE ww!!
Sio lazima kutoa sadaka,..labda kuna shida hapo mbele unaweza pungukiwa ukasolve na hiyo hela, unaweza pia ukawa mpango wa Mungu...,KENGE ww.Ona hii kenge maji.
Ailete kanisaniAcha ubwege wewe. Mchungaji akipaya off hiyo akatoe sandakan wapi?
Wewe kaitoe, utapata nyingineSio lazima kutoa sadaka,..labda kuna shida hapo mbele unaweza pungukiwa ukasolve na hiyo hela, unaweza pia ukawa mpango wa Mungu...,KENGE ww.
wewe inaelekea ni muumini wa mchungajia MAKENZIE yuel aliyeteketeza waumini wake pale SHAKAOZA KENYA!!!,,,,,,Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka.
Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana.
Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea zishindwe. Hii ni siri, sasa wewe bishana na Boss la DP World tuone kama hako ka cv kako katapita pale bandarini, nimekaa palee... Boss lenye nongwa.
Katoe sadaka acha porojowewe inaelekea ni muumini wa mchungajia MAKENZIE yuel aliyeteketeza waumini wake pale SHAKAOZA KENYA!!!,,,,,,
na ukipewa ofa ya bia mbili moja unapeleka kanisani au?Katoe sadaka acha porojo
Naam kanisa katoliki linapokea ila usilewe tu.na ukipewa ofa ya bia mbili moja unapeleka kanisani au?
Wapi nimetukana kenge wewe?Boss unamatusi sana
Poa mambaWapi nimetukana kenge wewe?
Sadaka zote zinapitia kwa mleta uzi
JamaniiNaam kanisa katoliki linapokea ila usilewe tu.