uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Unapopata pesa nawazungumzia vijana wa Leo hakikisha unakaa nyumbani , hakikisha pesa inageuka Akiba ya kudumu usikubali kutumia pesa yako kununua Magonjwa ili baadae uishi kwa mateso.
Wewe ndio Mwalimu wa Maisha yako wewe ndo daktari wa Maisha yako yaani wewe ndo kila kitu.
Hizi hadithi za zamani nilikuwa na PESA acha zibaki kwao usiziruhusu zitokee kwako.
Ukipanda Juu hakikisha unakuwa makini zaidi ya ulivyokuwa chini . Maana siku zote kushuka chini ni rahisi kuliko kupanda Juu. Pia usisahau kujisamehe na kuanza upya .
Pole, na uhakika unajuta ndo maana umeandika ujumbe mfupi mzuri, hawatakusikiliza mpaka wafike umri wako na majuto kama ambavyo wewe hukusikiliza.