isayaj
Senior Member
- May 10, 2022
- 153
- 146
WW unakua na dem mmoja huyo dem anakua na mabwana wengine 100 na wwNi kweli mkuu. kwa sisi vijana ukiwa na demu mmoja inatosha siyo umepata hella unasema ngoja ni wakomeshe utajikomesha mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app