Ukipata pesa hakikisha unatulia nyumbani kwako


Pole, na uhakika unajuta ndo maana umeandika ujumbe mfupi mzuri, hawatakusikiliza mpaka wafike umri wako na majuto kama ambavyo wewe hukusikiliza.
 
Somo zuri sana hili naomba nikusindikizie ujumbe wako kwa 👇

 
Akianza
1. Dialysis
2. ARV
3. Admitted to Ocean Road Hospital ( O.R.H)

Wahenga walisema "HUJAFA HUJAUMBIKA"

Unaweza jilinda na bado ukapatikana tu...

Tuishi kwa kufuata health tips, mengine yatajulikana mbele kwa mbele.

View attachment 2690673
Hivyo vyote vinaepukika

Dialysis waweza ikwepa kwa kutokunywa pombe na vitu vya kemikalo

ARV waweza zikwepa kwa kutumia kondomu au kuwa mwaminifu

Cancer waweza iepuka kwa kufanya diagnosis mapema
 
Huu ujumbe umenifikia kwa Wakati...naitika AAAAAAMEEEEN🙏
 
Hivyo vyote vinaepukika

Dialysis waweza ikwepa kwa kutokunywa pombe na vitu vya kemikalo

ARV waweza zikwepa kwa kutumia kondomu au kuwa mwaminifu

Cancer waweza iepuka kwa kufanya diagnosis mapema
Acha ujuaji wewe,vipi kama wewe ni muaminifu alafu mwenzako akakuletea?
 
Mungu akubariki Sana mkuu Kuna kulubanika mmoja hivi ngoja nimwonyeshe anajifanya kasahau tulipotoka.
 
Mimi nawasisitiza vijana mle ujana wenu Tena kula Bata kwelikweli kabla haujaingia kwenye jela ya hiyari yani ndoa.

Kikubwa play safe, condom inasave ukimwi upo na unauwa.

Kuna madhara makubwa sana huko mbele kama utaruka stage ya ukuwaji bila kuipitia.

Tena siku hizi Bata zipo kila mtaa na Madj mnao.

Kipindi cha nyuma tukitaka kwenda kula Bata ni kipengele lazima uwe na bajeti kabisa ya shangwe na ya Tax kurudi Nyumbani maana hata Bodaboda hazikuwepo au unachukuwa hotel kabisa, lakini sasa hivi kila location watu wana pub zao za kupiga shangwe na vibe ni la kutosha tu.

Kujifungia Nyumbani ni dalili za kijana kuwa mchawi baadaye, kanuni iko wazi kabisa wanaotumia pesa ndio wanaopata pesa.

Angalia kwenye kahawa, misikitini na pub wapi zinapaki ndinga za maana?
 

Attachments

  • FB_IMG_1688488086473.jpg
    21.9 KB · Views: 1
hakuna faida ya kufa ukiwa mzima wa afya
ukiwa na afya njema, utasema lolote ila walio na afya mbovu wakiona mchango wako huu wanasikitika sana.

kabla ujafa ukaugua maumivu yake huwezi andika hili ulilo andika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…