Ukipata saratani usipoteze pesa kwa matibabu anza kupanga mazishi. Katika July Joyce Laboso, Kenneth Okoth na Bob Colymore wameangushwa na saratani

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Hii saratani ni shetani mbaya sana. Huu mwezi pekee imeangusha watu watatu mashuhuri. Joyce Laboso amefariki sasa hivi. Alikuwa governor wa Bomet. Saratani inakula pesa yako yote halafu ukafilisika unatuacha. Mungu awalaze mahali pema peponi. Cancer should be declared a national disaster. RIP

<blockquote class="twitter-tweet"><p lang="en" dir="ltr">BREAKING: Bomet Governor Joyce Laboso is dead. More to follow. <a href="https://t.co/H25Dixx6RC">pic.twitter.com/H25Dixx6RC</a></p>&mdash; NTV Kenya (@ntvkenya) <a href="">July 29, 2019</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
 
Hii saratani ni shetani mbaya sana. Huu mwezi pekee imeangusha watu watatu mashuhuri. Joyce Laboso amefariki sasa hivi. Alikuwa governor wa Bomet. Saratani inakula pesa yako yote halafu ukishafilisika unatuacha. Mungu awalaze mahali pema peponi
ukizaliwa tu anza kujiandaa na kifo acha kujiona una nafasi sababu eti huna saratani.
 
Maisha ni matamu ndugu yangu. Siri kubwa ni 'early diagnosis', ugonjwa wa saratani ukigunduliwa mapema una chance kubwa zaidi ya kusurvive. Hatua hiyo nayo inahitaji 'regular medical check ups', hapo sasa ndio utata ulipo kwetu sisi waafrika. Kumtembelea daktari bila sababu kwetu ni kama kuingia kituo cha polisi kuwa amkua ma afisaa.
 
Tatizo hta hko mambele inawapiga chini pia
Maisha ni matamu ndugu yangu. Siri kubwa ni 'early diagnosis', ugonjwa wa saratani ukigunduliwa mapema una chance kubwa zaidi ya kusurvive. Hatua hiyo nayo inahitaji 'regular medical check ups', hapo sasa ndio utata ulipo kwetu sisi waafrika. Kumtembelea daktari bila sababu kwetu ni kama kuingia kituo cha polisi kuwaamkua ma afisaa.
 
Nakubaliana na wewe. Sasa ni wakati wa serikali kuanza national campaign of early cancer checkup. Bei pia ipunguzwe kwani bei ya checkup sio ya hoipoloi. Ikiwezekana checkup ifanywe kwa public hospitals ili bei ipunguwe. Bila bei kupunguzwa basi mtu wa kawaida hataweza kufanya checkup.
 
Karibu Tanzania, Cancer checkup na tiba ni free of charge.
 
Maisha ni matamu ndugu yangu. Siri kubwa ni 'early diagnosis', ugonjwa wa saratani ukigunduliwa mapema una chance kubwa zaidi ya kusurvive. Hatua hiyo nayo inahitaji 'regular medical check ups', hapo sasa ndio utata ulipo kwetu sisi waafrika. Kumtembelea daktari bila sababu kwetu ni kama kuingia kituo cha polisi kuwaamkua ma afisaa.

Una habari hata Steve Jobs wa Apple ni saratani ilimuondoa?
 
Maisha ni matamu ndugu yangu. Siri kubwa ni 'early diagnosis', ugonjwa wa saratani ukigunduliwa mapema una chance kubwa zaidi ya kusurvive. Hatua hiyo nayo inahitaji 'regular medical check ups', hapo sasa ndio utata ulipo kwetu sisi waafrika. Kumtembelea daktari bila sababu kwetu ni kama kuingia kituo cha polisi kuwaamkua ma afisaa.
Umeanza vizuri sana ila hapo mwisho tu kwenye "kuwaamkia" ndio umechemka naona Tecno yako imeanza wenge
 
Back
Top Bottom