Ukipata saratani usipoteze pesa kwa matibabu anza kupanga mazishi. Katika July Joyce Laboso, Kenneth Okoth na Bob Colymore wameangushwa na saratani

Ukipata saratani usipoteze pesa kwa matibabu anza kupanga mazishi. Katika July Joyce Laboso, Kenneth Okoth na Bob Colymore wameangushwa na saratani

nyie ndo wale mkiumwa mafua maandika urithi kama hela kazitafuta mwenyewe mwache azitumie kujitibu.
 
Kuna wengi ambao wamepata matibabu na wakapona. Mfano mzuri ni babake Lupita Nyong'o, gavana wa gatuzi la Kisumu Prof. Anyang' Nyong'o.
Kuhusu Prof. Anyang' Nyong'o tuzidi kumuombea, ila sio kwamba amepona. Yeye aliwahi kidogo kwahiyo " Prognosis yake ni nzuri kidogo, kwamba anaweza kuishi muda mrefu kidogo, lakini anything can happen anytime. Miezi kadhaa iliyopita niliposikia aliugua ghafla na kulazwa Hospital, nilishituka sana.
 
Acha kukatisha tamaa watu wanaopambana na cancer.
Mimi juzi nimeondokewa na mtu ninayemfahamu kwa cancer..
Lakini pia kuna watu ninaowafahamu wametibiwa cancer na wakapona.
Kikubwa ni early diagnosis na right treatment na aina ya kansa yenyewe..
 
Sasa mbona unaanza kuwa negatives badala ya kuwa positive?. Kila Hospitali iko na level yake ya kufanya kazi. Cancer screening Equipments huwezi kuzikuta katika level ya Health centres.

Tanzania Hospital zote za Referral zinafanya cancer screening free of charge, ila advanced treatment ya Chemotherapy kwa kutumia "Lenear accelerator" inapatikana Ocean road na Bugando pekee., Ocean road ni free of charge, wakati Buganda unalipa bei yenye Government subsides kwasababu hiyo Hospital ni PPP.

Kumbuka huko kwenu Kenya, " Lenear accelerator Machines ipo Agha Khan Hospital pekee, na ni very expensive for 95% of Kenyans.
Mko vizuri kutushinda lakini hayo mahospitali uliyoyataja hayawatoshelezi ninyi wenyewe. Kama serikali yenu inataka kufanya mambo ya medical tourism ili Wakenya waache kuenda India waanze kuja T.Z itabidi mjenge hospitali zaidi ya tano zenye uwezo wa kutibu cancer. Sio hospitali mbili kama ulivyosema hapo awali. Mko vizuri kutushinda lakini mna hospitali chache sana. Wakenya kwa maelfu wana cancer nasikia zaidi ya elfu arubaini wanapata cancer kila mwaka. Suluhisho ni serikali ya KE kuunda mahospitali ya saratani.
 
Naona unalichukulia lightly,Mtu kupata ajali..si kitendo cha mara moja??,jiuguze miezi/miaka huku ukijua unakufa sio kitu rahisi..especially ukiwaona familia yako iko distressed na ugonjwa wako..na wewe uko helpless...NO,usilinganishe kifo cha ajali iwe sawa na kifo cha saratani..
Nimekosea wapi, wakati nilichofanya ni kumjibu tu aliyeleta hoja kwamba tusalimu amri tu na tukubali kufa? Kwa kumueleza kwamba mtu akijua kwamba ana saratani mapema huwa ana chance kubwa zaidi ya kusurvive. Itakuwa labda ulinuia kumnukuu mtu mwingine.
 
Mko vizuri kutushinda lakini hayo mahospitali uliyoyataja hayawatoshelezi ninyi wenyewe. Kama serikali yenu inataka kufanya mambo ya medical tourism ili Wakenya waache kuenda India waanze kuja T.Z itabidi mjenge hospitali zaidi ya tano zenye uwezo wa kutibu cancer. Sio hospitali mbili kama ulivyosema hapo awali. Mko vizuri kutushinda lakini mna hospitali chache sana. Wakenya kwa maelfu wana cancer nasikia zaidi ya elfu arubaini wanapata cancer kila mwaka. Suluhisho ni serikali ya KE kuunda mahospitali ya saratani.
Tony254. Tatizo tulilonalo sio idadi ya Hospital, tatizo ni wananchi kutumia hizi Hospital, ni idadi ndogo sana ya wananchi wenye matatizo ya cancer wanaotumia huduma ya hizi Hospital kutokana na sababu mbalimbali.

Hatuwezi kujenga Hospital nyingi wakati magonjwa hawajitojezi. Ocean Road ni bure lakini bado watanzania wengi wenye cancer hawajitokezi, tukijenga Hospital kubwa kama Ocean road itakuwa ni kupoteza resources bure. Kumbuka dawa za UKIMWI ni bure lakini watu wengi hawataki kupima UKIMWI, na wengi wenye UKIMWI hawataki kutumia dawa, ufumbuzi sio kuongeza Hospital za kutibu UKIMWI.
 
Kwa kweli hii Julai 2019 !!!

Kenyans poleni sana .... Ken,Bob na Joyce wamelala....Tunapita wote Mungu awaweke pema....RIP
 
Serikali itusaidie tu otherwise hatuwezi toboa
Wewe tayari una kansa ya korodani nini? Mbona unapiga yowe sana usaidiwe usaidiwe kwani vipi? Halafu unaonekana una maisha ya hovyo sana dogo. What's wrong buddy?
 
Sasa wewe unataka Wakenya karibia milioni hamsini waje watibiwe katika hospitali moja? Hio hospitali moja hata haiwatoshi ninyi Watanzania milioni hamsini na tano. Nilidhani hospitali zote public T.Z zinafanya checkup? Kumbe ni hospitali moja?
Hospitals kubwa za serikali zaidi ya 5 zinatoa matibabu kama yaliyopo nchi zilizoendelea
 
Sasa mbona unaanza kuwa negatives badala ya kuwa positive?. Kila Hospitali iko na level yake ya kufanya kazi. Cancer screening Equipments huwezi kuzikuta katika level ya Health centres.

Tanzania Hospital zote za Referral zinafanya cancer screening free of charge, ila advanced treatment ya Chemotherapy kwa kutumia "Lenear accelerator" inapatikana Ocean road na Bugando pekee., Ocean road ni free of charge, wakati Buganda unalipa bei yenye Government subsides kwasababu hiyo Hospital ni PPP.

Kumbuka huko kwenu Kenya, " Lenear accelerator Machines ipo Agha Khan Hospital pekee, na ni very expensive for 95% of Kenyans.
What are you trying to say here....ati Aghakan pekee?
Hospitali kadhaa hapa Kenya zina hizi machine .
What ails treatment of cancer in Kenya is overstretched facilities na bei ghali ya matibabu .
 
Hii saratani ni shetani mbaya sana. Huu mwezi pekee imeangusha watu watatu mashuhuri. Joyce Laboso amefariki sasa hivi. Alikuwa governor wa Bomet. Saratani inakula pesa yako yote halafu ukafilisika unatuacha. Mungu awalaze mahali pema peponi. Cancer should be declared a national disaster. RIP

BREAKING: Bomet Governor Joyce Laboso is dead. More to follow. pic.twitter.com/H25Dixx6RC
— NTV Kenya (@ntvkenya) July 29, 2019
Huu ni upuuzi
 
Asante mungu
Afya hii si Kwa ujanja wangu.
Au unanipenda sana na wengine unawachukia
 
Sasa mbona unaanza kuwa negatives badala ya kuwa positive?. Kila Hospitali iko na level yake ya kufanya kazi. Cancer screening Equipments huwezi kuzikuta katika level ya Health centres.

Tanzania Hospital zote za Referral zinafanya cancer screening free of charge, ila advanced treatment ya Chemotherapy kwa kutumia "Lenear accelerator" inapatikana Ocean road na Bugando pekee., Ocean road ni free of charge, wakati Buganda unalipa bei yenye Government subsides kwasababu hiyo Hospital ni PPP.

Kumbuka huko kwenu Kenya, " Lenear accelerator Machines ipo Agha Khan Hospital pekee, na ni very expensive for 95% of Kenyans.
Kaka Tema mate chini.
Cancer is the Lethal disease no matter upo Tz or Kenya.
Usiombee!!!
Inategemea na Aina ya Cancer. Ogopa sana
1. Brain Tumor
2. Leukemia
Kiufupi Ukipata Cancer basi matibabu ni ya kusogeza siku. Na madaktari kutoa tiba huwa wanaangalia Life span yako. Kama umefika above 70 wanaweza wasikuanzishie matibabu yoyote.
 
Back
Top Bottom