Ukipata saratani usipoteze pesa kwa matibabu anza kupanga mazishi. Katika July Joyce Laboso, Kenneth Okoth na Bob Colymore wameangushwa na saratani

Ukipata saratani usipoteze pesa kwa matibabu anza kupanga mazishi. Katika July Joyce Laboso, Kenneth Okoth na Bob Colymore wameangushwa na saratani

Kibaya zaidi Africa Ugonjwa ni siri ya Wanafamilia.
Watu wengi hawa disclose causative of death.
Ila current yrs Cancer inazidi kuwa tishio ktk developing countries
Sababu kubwa ni
1. Genetically
2. Vyakula- Life sytle
3. Age
 
Kaka Tema mate chini.
Cancer is the Lethal disease no matter upo Tz or Kenya.
Usiombee!!!
Inategemea na Aina ya Cancer. Ogopa sana
1. Brain Tumor
2. Leukemia
Kiufupi Ukipata Cancer basi matibabu ni ya kusogeza siku. Na madaktari kutoa tiba huwa wanaangalia Life span yako. Kama umefika above 70 wanaweza wasikuanzishie matibabu yoyote.
Sio kweli unayosema, cancer inategemea na stage, type na location, hujawahi kusikia kwamba ukiwahi baadhi ya cancer unapona kabisa?, hujasikia watu wanaoitwa cancer survivors?.
 
What are you trying to say here....ati Aghakan pekee?
Hospitali kadhaa hapa Kenya zina hizi machine .
What ails treatment of cancer in Kenya is overstretched facilities na bei ghali ya matibabu .
Acha kuzungumza mambo usiyoyajua. Lenear accelerator machine Kenya ipo Agha khan Hospital pekee, tena ilifungwa mwaka Jana, hakuna Hospitality yoyote yenye hiyo machine hapo Kenya, hapa Tanzania tunazo mbili tu.
 
Kibaya zaidi Africa Ugonjwa ni siri ya Wanafamilia.
Watu wengi hawa disclose causative of death.
Ila current yrs Cancer inazidi kuwa tishio ktk developing countries
Sababu kubwa ni
1. Genetically
2. Vyakula- Life sytle
3. Age
Ukiangalia zile enzi za mababu zetu, walikuwa wanaishi maisha marefu, ndio magonjwa kama malaria, tb yalikuwepo lakini saratani si vile sana na walikuwa wanakula vyakula very healthy kama skumawiki, mkunde, kabichi na vyengine mengi, lakini siku hizi watu wanataka kufundira mapizza, nyama ambazo zimefryiwa haya yote ndio husababisha hizi lifestyle diseases na pia hawapigi tizi.

Na hapo kwa umri sikubaliani na wewe kwa sababu nilijua jamaa aliyekuwa na umri wa miaka 17 aliyegonjeka lakini cha uzuri ni kwamba alipona. Na pia kuna makesi kibao kuhusu watoto wachanga ambao wanaugua na saratani.
 
Wewe tayari una kansa ya korodani nini? Mbona unapiga yowe sana usaidiwe usaidiwe kwani vipi? Halafu unaonekana una maisha ya hovyo sana dogo. What's wrong buddy?
Najua nini inakuwasha. Una machungu kwa sababu jana nilisema kiingereza chako ni kibaya. Mimi nilienda Europe miaka miwili kufanya masters, nimerudi Kenya June.
 
Acha kuzungumza mambo usiyoyajua. Lenear accelerator machine Kenya ipo Agha khan Hospital pekee, tena ilifungwa mwaka Jana, hakuna Hospitality yoyote yenye hiyo machine hapo Kenya, hapa Tanzania tunazo mbili tu.
Fanya research yako vizuri.
 
Maisha ni matamu ndugu yangu. Siri kubwa ni 'early diagnosis', ugonjwa wa saratani ukigunduliwa mapema una chance kubwa zaidi ya kusurvive. Hatua hiyo nayo inahitaji 'regular medical check ups', hapo sasa ndio utata ulipo kwetu sisi waafrika. Kumtembelea daktari bila sababu kwetu ni kama kuingia kituo cha polisi kuwa amkua ma afisaa.
my friend have ever heard about cancer of the head of the pancreas??it kills you within six months even whe early diagnosed.survival rate is usually dismal
 
Sija attach links ipasavyo lakini itakusidia kufanya research yako vizuri .
Katika hilo eneo wala usijisumbue, Linear accelerator machine, is the most advanced machine in cancer treatment in the World, Kenya mnayo moja tu hapo Agha Khan, tena imefungwa mwaka Jana. Tanzania tunazo mbili tu, moja imefungwa mwaka Jana na hii ya Ocean Road Hospital imefungwa mwaka huu 2019, acha kupoteza muda wako katika eneo ambalo hulijui vizuri.
 
Sijaelewa wala sijaweza kufungua link hata moja. What do you want to show us?
All those hospitals have linear accelerateors
Katika hilo eneo wala usijisumbue, Linear accelerator machine, is the most advanced machine in cancer treatment in the World, Kenya mnayo moja tu hapo Agha Khan, tena imefungwa mwaka Jana. Tanzania tunazo mbili tu, moja imefungwa mwaka Jana na hii ya Ocean Road Hospital imefungwa mwaka huu 2019, acha kupoteza muda wako katika eneo ambalo hulijui vizuri.
Hahaa sitapoteza muda kujibizana na wewe kwa sababu huelewi unachosema Wala huna ushahidi wa kudhibitisha madai yako. Nikikupa ushahidi wangu utashift goalpost ama uanze matusi Kama ilivyo kawaida yenu.
 
“Life is pleasant. Death is peaceful. It's the transition that's troublesome.” ― Isaac Asimov
Rest in peace LABOSO.
 
Dawa ipo kabisa kunandugu yangu naona saratani ya damu
 
😱😵😁 Tony254 your brother has no chills 😵😵...Huyu hapa....

What’s your opinion?....I had to pick my jaw off the floor....This was bold...How did the first wife feel?.. Tony254 is He always like this?...I am genuinely scared of the guy...😵😵...Just telling on your business in front of all?
 
Back
Top Bottom