Carica_papaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 767
- 1,272
Tushapoa. Hii ni hali ya maisha na njia ni hiyo moja na sisi wote ni lazima tuipitie.Kwa kweli hii Julai 2019 !!!
Kenyans poleni sana .... Ken,Bob na Joyce wamelala....Tunapita wote Mungu awaweke pema....RIP
Sio kweli unayosema, cancer inategemea na stage, type na location, hujawahi kusikia kwamba ukiwahi baadhi ya cancer unapona kabisa?, hujasikia watu wanaoitwa cancer survivors?.Kaka Tema mate chini.
Cancer is the Lethal disease no matter upo Tz or Kenya.
Usiombee!!!
Inategemea na Aina ya Cancer. Ogopa sana
1. Brain Tumor
2. Leukemia
Kiufupi Ukipata Cancer basi matibabu ni ya kusogeza siku. Na madaktari kutoa tiba huwa wanaangalia Life span yako. Kama umefika above 70 wanaweza wasikuanzishie matibabu yoyote.
Acha kuzungumza mambo usiyoyajua. Lenear accelerator machine Kenya ipo Agha khan Hospital pekee, tena ilifungwa mwaka Jana, hakuna Hospitality yoyote yenye hiyo machine hapo Kenya, hapa Tanzania tunazo mbili tu.What are you trying to say here....ati Aghakan pekee?
Hospitali kadhaa hapa Kenya zina hizi machine .
What ails treatment of cancer in Kenya is overstretched facilities na bei ghali ya matibabu .
Ukiangalia zile enzi za mababu zetu, walikuwa wanaishi maisha marefu, ndio magonjwa kama malaria, tb yalikuwepo lakini saratani si vile sana na walikuwa wanakula vyakula very healthy kama skumawiki, mkunde, kabichi na vyengine mengi, lakini siku hizi watu wanataka kufundira mapizza, nyama ambazo zimefryiwa haya yote ndio husababisha hizi lifestyle diseases na pia hawapigi tizi.Kibaya zaidi Africa Ugonjwa ni siri ya Wanafamilia.
Watu wengi hawa disclose causative of death.
Ila current yrs Cancer inazidi kuwa tishio ktk developing countries
Sababu kubwa ni
1. Genetically
2. Vyakula- Life sytle
3. Age
Kabisa. Living is a form cancer.Everyone has Cancer!
Najua nini inakuwasha. Una machungu kwa sababu jana nilisema kiingereza chako ni kibaya. Mimi nilienda Europe miaka miwili kufanya masters, nimerudi Kenya June.Wewe tayari una kansa ya korodani nini? Mbona unapiga yowe sana usaidiwe usaidiwe kwani vipi? Halafu unaonekana una maisha ya hovyo sana dogo. What's wrong buddy?
Fanya research yako vizuri.Acha kuzungumza mambo usiyoyajua. Lenear accelerator machine Kenya ipo Agha khan Hospital pekee, tena ilifungwa mwaka Jana, hakuna Hospitality yoyote yenye hiyo machine hapo Kenya, hapa Tanzania tunazo mbili tu.
Hiyo ukiipata huchomoi.Ya damu
Ndiyo sababu ninazungumza "with authority", ninakuambia hadi mwaka ambao inefungwa hiyo machine hapo Agha khan. Kama unabisha lete link kupinga hoja yangu.Fanya research yako vizuri.
12 Nov 2012 (Nairobi hospital)Ndiyo sababu ninazungumza "with authority", ninakuambia hadi mwaka ambao inefungwa hiyo machine hapo Agha khan. Kama unabisha lete link kupinga hoja yangu.
my friend have ever heard about cancer of the head of the pancreas??it kills you within six months even whe early diagnosed.survival rate is usually dismalMaisha ni matamu ndugu yangu. Siri kubwa ni 'early diagnosis', ugonjwa wa saratani ukigunduliwa mapema una chance kubwa zaidi ya kusurvive. Hatua hiyo nayo inahitaji 'regular medical check ups', hapo sasa ndio utata ulipo kwetu sisi waafrika. Kumtembelea daktari bila sababu kwetu ni kama kuingia kituo cha polisi kuwa amkua ma afisaa.
Sijaelewa wala sijaweza kufungua link hata moja. What do you want to show us?12 Nov 2012 (Nairobi hospital)
[/URL]
Kenyatta hospital 5th Feb 2016
[/URL]
Aghakan hospital
[/URL]
Cancer care center .
[/URL]
Texas cancer center
[/URL]
Eldoret Hospital
[/URL]
Sija attach links ipasavyo lakini itakusidia kufanya research yako vizuri .12 Nov 2012 (Nairobi hospital)
[/URL]
Kenyatta hospital 5th Feb 2016
[/URL]
Aghakan hospital
[/URL]
Cancer care center .
[/URL]
Texas cancer center
[/URL]
Eldoret Hospital
[/URL]
Katika hilo eneo wala usijisumbue, Linear accelerator machine, is the most advanced machine in cancer treatment in the World, Kenya mnayo moja tu hapo Agha Khan, tena imefungwa mwaka Jana. Tanzania tunazo mbili tu, moja imefungwa mwaka Jana na hii ya Ocean Road Hospital imefungwa mwaka huu 2019, acha kupoteza muda wako katika eneo ambalo hulijui vizuri.Sija attach links ipasavyo lakini itakusidia kufanya research yako vizuri .
All those hospitals have linear accelerateorsSijaelewa wala sijaweza kufungua link hata moja. What do you want to show us?
Hahaa sitapoteza muda kujibizana na wewe kwa sababu huelewi unachosema Wala huna ushahidi wa kudhibitisha madai yako. Nikikupa ushahidi wangu utashift goalpost ama uanze matusi Kama ilivyo kawaida yenu.Katika hilo eneo wala usijisumbue, Linear accelerator machine, is the most advanced machine in cancer treatment in the World, Kenya mnayo moja tu hapo Agha Khan, tena imefungwa mwaka Jana. Tanzania tunazo mbili tu, moja imefungwa mwaka Jana na hii ya Ocean Road Hospital imefungwa mwaka huu 2019, acha kupoteza muda wako katika eneo ambalo hulijui vizuri.