Ukipata saratani usipoteze pesa kwa matibabu anza kupanga mazishi. Katika July Joyce Laboso, Kenneth Okoth na Bob Colymore wameangushwa na saratani

Huyo na Waititu wana tabia kama hiyo. Wanaitwa populists yaani useme chochote tu ili ufurahishe watu. Hata Donald Trump na Borris Johnson ni populists
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…