Mtu wa degree akipata sup anachomoa na maisha yanasonga
Ila wa diploma akipata sup haruhusiwi kuingia mwaka unaofata mpaka achomoe
Mbaya zaidi Kuna mitihani ya written na oral au Ospe au mitihani ya wodini
Ukifaulu written na ukafeli oral unarudishwa nyuma unawaacha wenzako wasonge mbele wewe unabaki hapo hapo
Hata Kama written umepata 90 na oral umepata 48 unarudia hii sio fair, angalau wangekuwa wanaangalia wastani kuliko kuangalia component moja moja.
Mtihani wa oral wakiamua kukufelisha wanakufelisha tu huu sio uungwana