Ukipata Sup diploma ya afya unarudia mwaka, hii sio fair hata kidogo

Ukipata Sup diploma ya afya unarudia mwaka, hii sio fair hata kidogo

Siku moja ya leo umeanzisha thread zaidi ya moja .... unalalamikia sare ... unalalamikia sup ... Nakushauri kazana kusoma ... miaka yenyewe mitatu tuu unataka u-cary kwenda wapi? .. mitihani ya oral ndio nguzo ya masomo yako ... written za kumezesha haziwezi lingana uzito na oral exam
 
Mtu wa degree akipata sup anachomoa na maisha yanasonga

Ila wa diploma akipata sup haruhusiwi kuingia mwaka unaofata mpaka achomoe

Mbaya zaidi Kuna mitihani ya written na oral au Ospe au mitihani ya wodini
Ukifaulu written na ukafeli oral unarudishwa nyuma unawaacha wenzako wasonge mbele wewe unabaki hapo hapo

Hata Kama written umepata 90 na oral umepata 48 unarudia hii sio fair, angalau wangekuwa wanaangalia wastani kuliko kuangalia component moja moja.

Mtihani wa oral wakiamua kukufelisha wanakufelisha tu huu sio uungwana
MD3 sup sio kilema tunasapua😂😂 usipanic
 
Tatizo vijana mnakula bata kuliko kusoma
 
Someni acheni kujidai mastaa wa muvi mnapokuwa chuo.

Wanafunzi wengi wamejaa ujinga kwenye hizi level za kati.Usijilinganishe na watu wa digrii kwani ninyi hamjitambui kabisa.
Serikali rekebisheni ratiba zenu sup isimfanye mtu akwame kuendelea mbele

Mbona degree mtu anapata sup na ana carry kabisa

Kwa nini huku mnaweka ugumu kiasi hicho
 
Eh mbona hata wanaosomea diploma.ya ualimu ktk vyuo vya serikali maidha hayo walisha zoea tangia zaman

Yaan nyie mlifikiri mtateleza tu .....hahahahahaha

Alafu siku izi imekuwa ni fashion na biashara kwa hivi vyuo vya health and applied science wana jipigia business tu maana dogo aki score D zake 4 anajua jobbdone atajiunga kusomea CO au Nursing au LT

Sasa hapo ni vyema kuwa chuja ili tupate top cream sio tunapata Nurse ambae anaogopa damu 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom