Ulikwenda carry shule???soma mdogo angu hutaki waachie chuo chaoSerikali rekebisheni ratiba zenu sup isimfanye mtu akwame kuendelea mbele
Mbona degree mtu anapata sup na ana carry kabisa
Kwa nini huku mnaweka ugumu kiasi hicho
Hapo kwenye carry labda kama haubadili NTA ila kama chuo kinatumia huo mfumo mpaka uclear ndio unaingia darasa lingine,Serikali rekebisheni ratiba zenu sup isimfanye mtu akwame kuendelea mbele
Mbona degree mtu anapata sup na ana carry kabisa
Kwa nini huku mnaweka ugumu kiasi hicho
Sup za mchongo Kama sup za oralHapo kwenye carry labda kama haubadili NTA ila kama chuo kinatumia huo mfumo mpaka uclear ndio unaingia darasa lingine,
Pambana mkuu shule haijawahi kua rahisi though hapo kwenye sup mtu kurudia mwaka mzima wanakosea
Pole sana mkuuSup za mchongo Kama sup za oral
Unajibu fresh ila wanakuwekea maksi wanayojisikia.
Soma acha kukaririMtu wa degree akipata sup anachomoa na maisha yanasonga
Ila wa diploma akipata sup haruhusiwi kuingia mwaka unaofata mpaka achomoe
Mbaya zaidi Kuna mitihani ya written na oral au Ospe au mitihani ya wodini
Ukifaulu written na ukafeli oral unarudishwa nyuma unawaacha wenzako wasonge mbele wewe unabaki hapo hapo
Hata Kama written umepata 90 na oral umepata 48 unarudia hii sio fair, angalau wangekuwa wanaangalia wastani kuliko kuangalia component moja moja.
Mtihani wa oral wakiamua kukufelisha wanakufelisha tu huu sio uungwana
Vijana 😂 sup sio mchezoMbona kawaida tu hapo IFM mwaka 2013 kurud nyuma ukiwa na sup 1 tu ukashindwa ku clear unarudia mwqka hata kama una A zote..
Achen kulia lia vijana
Shule ndogo mzee au tusemaje?Sup za mchongo Kama sup za oral
Unajibu fresh ila wanakuwekea maksi wanayojisikia.
Ndo Muundo Yao iko hivyo. Hta walimu iko hivyo so elewa hivyo. Gharama ya HYo mitihan ni kubwa sana na inasahihishwa collectively, so ukasupp wakakutajia hela ndefu Ili u sup c utalalmika pia. Kila level in principal yake, Kwan anayefel drs la Saba, form four ,au six si Ndo mfumo wa kusubiria next year... HYo Ndo gharama ya kufell NDugu.Mtu wa degree akipata sup anachomoa na maisha yanasonga
Ila wa diploma akipata sup haruhusiwi kuingia mwaka unaofata mpaka achomoe
Mbaya zaidi Kuna mitihani ya written na oral au Ospe au mitihani ya wodini
Ukifaulu written na ukafeli oral unarudishwa nyuma unawaacha wenzako wasonge mbele wewe unabaki hapo hapo
Hata Kama written umepata 90 na oral umepata 48 unarudia hii sio fair, angalau wangekuwa wanaangalia wastani kuliko kuangalia component moja moja.
Mtihani wa oral wakiamua kukufelisha wanakufelisha tu huu sio uungwana
Upo sahihi ndugu vijana wasome sasa wataliwa vichwaaNdo Muundo Yao iko hivyo. Hta walimu iko hivyo so elewa hivyo. Gharama ya HYo mitihan ni kubwa sana na inasahihishwa collectively, so ukasupp wakakutajia hela ndefu Ili u sup c utalalmika pia. Kila level in principal yake, Kwan anayefel drs la Saba, form four ,au six si Ndo mfumo wa kusubiria next year... HYo Ndo gharama ya kufell NDugu.