Maisha unayoishi hauishi Kwa bahati nasibu, Mungu amekupa nafasi adhimu, wengine ni wagonjwa,wengine wamejufa lakini wewe upo hai ,una afya njema, huna cancer, huna tatizo la Figo lakini masikini ya Mungu wewe ndiyo unafanya dhambi ya hovyo hovyo, unalawiti au kulawitiwa.
Fahamu ya kuwa Kuna wakati utarejea Kwa huyo Mungu aliyekuumba, na huko huwezi kujibu tena Kwa kibri kuwa kataa ndoa, wapuuzi wenzio hawatakusaidia kitu, Mungu unayemkataa wakati huu ndiye atakuhukumu,na huko jehanum Kuna funza, hawafai ni ziwa la moto ni kilio usiku na mchana.
Hakuna wa kukutoa huko, sio baba Wala mama, Wala kiongozi wako wa dini, Wala watakaosema Rip wakusaidie, lakini uchaguzi unao wakati huu wa kugeuka na kufanya Toba ya kweli,na kuacha uovu.
Uzinzi kusingiziwa na uchawu na uongo,ni kweli gadhazu ya Mungu IPO, Na jehanum Mungu anatisha, anaogopewa kama nini, badilika, ndugu hasaa wewe John ubadilike!
Mbadilike, Acheni uovu