Ukipewa nafasi ubadili dini upya. Je, utabaki na dini yako ya sasa?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Hizi dini.zina raise maswali magumu sana, imagine ukapewa nafasi.ya mwisho uchague dini upya utabaki na dini yako.ya zamani?.

FB_IMG_1792549236428.jpg
 
Hizi dini.zina raise maswali magumu sana, imagine ukapewa nafasi.ya mwisho uchague dini upya utabaki na dini yako.ya zamani?.

View attachment 3695245
mi nadhani ni muhimu zaidi kuzingatia sharia, sheria, mila na desturi za jamii husika kuliko kua na kiherehere katika kuzikiuka tena hadharani kabisa kanakwamba wewe ni wa maana au bora zaidi ya wanaozitii na kuziheshimu.

jitahidi kuheshimu imani na anachokiabudu mwingine na itapendeza zaidi 🐒
 
Dini ni uongo bhana

Alafu wale hawajanyongwa kwakosa la kiislamu bali kwa kuvunja sheria za saudia rabia

Ila ss waislamu walivyolipuka kwa waarabu kutelekeza sheria za nchi yao ndipo hapo twashangaaa
 
mi nadhani ni muhimu zaidi kuzingatia sharia, sheria, mila na desturi za jamii husika kuliko kua na kiherehere katika kuzikiuka tena hadharani kabisa kanakwamba wewe ni wa maana au bora zaidi ya wanaozitii na kuziheshimu.

jitahidi kuheshimu imani na anachokiabudu mwingine na itapendeza zaidi 🐒
Dini ya kuua huo ni wehu
 
Back
Top Bottom