Ukipewa nafasi ubadili dini upya. Je, utabaki na dini yako ya sasa?

Ukipewa nafasi ubadili dini upya. Je, utabaki na dini yako ya sasa?

mi nadhani ni muhimu zaidi kuzingatia sharia, sheria, mila na desturi za jamii husika kuliko kua na kiherehere katika kuzikiuka tena hadharani kabisa kanakwamba wewe ni wa maana au bora zaidi ya wanaozitii na kuziheshimu.

jitahidi kuheshimu imani na anachokiabudu mwingine na itapendeza zaidi 🐒
Chawa leo kasema point muhimu
 
Dini inaua? Wakati huo huo inakuahidi uzima wa milele. Hili unalionaje shehe mwaipopo? Mtu kuonyesha anampendda mke wake basi wote wakatwe vichwa. Huu Ni ushetani.
mke wako si wakwako na umpende kivyako nyumbani kwako na chumbani kwako, inawahusu nini wengine hata uje uwaonyeshe walio ibadani kua unampenda mkewako tena tena kwa kukiuka sharia?🐒
 
Inakuwaje mtu anatetea kwa nguvu zote dini ambayo karithi tu kwa wazazi, kuwa ndiyo kweli kabisa. Dini ambayo wazazi wake wameipata kutoka kwa watu waliowatawala mababu na mabibi zao? Kila mtu atafute dini yake mwenyewe.
 
Nilijua unaleta thread kuelezea udhaifu unaouona kwenye dini yako,....
Kumbe unaleta kiherehere kwenye sheria za nchi za watu.

Mim nitakwambia ukweli...

Ukitaka kujua umuhimu wa kufata Sheria,..vunja Sheria halafu ukamatwe.
Wanakupigia makofi humu JF hutowaona kukutetea
 
Inakuwaje mtu anatetea kwa nguvu zote dini ambayo karithi tu kwa wazazi, kuwa ndiyo kweli kabisa. Dini ambayo wazazi wake wameipata kutoka kwa watu waliowatawala mababu na mabibi zao? Kila mtu atafute dini yake mwenyewe.
Wew unayo ya kwako?
Maisha yanawachanganya mnaona kila kitu ni uzushi....

Nyie ndo siku hiz mnaamasishana kusaidia wazazi wenu siyo lazima
 
Wew unayo ya kwako?
Maisha yanawachanganya mnaona kila kitu ni uzushi....

Nyie ndo siku hiz mnaamasishana kusaidia wazazi wenu siyo lazima
Unakuwaje na imani kitu umepata by chance tu. Ungezaliwa kwenye Uislamu ungesema hii ni dini ya kweli, ungezaliwa kwenye ukristo ungesema hii ni dini ya kweli, ungezaliwa mhindu ungesema hii ni dini ya kweli. Inakuingia akilini wewe?
 
Unajua wewe unapoteza wanaokusapoti...
Hata kwako umeweka sheria,na hutaki zivunjwe.

Nenda Saud Arabia halafu ukashifu kitu chochote kuhusu dini au mtume yeyote (siyo Muhammad tu) ....
Halafu ukamatwe.
 
Unakuwaje na imani kitu umepata by chance tu. Ungezaliwa kwenye Uislamu ungesema hii ni dini ya kweli, ungezaliwa kwenye ukristo ungesema hii ni dini ya kweli, ungezaliwa mhindu ungesema hii ni dini ya kweli. Inakuingia akilini wewe?
Umechagua upande wa kubisha sababu nchi yenu haina dini,hiyo yote inamaanisha hamna maadili.

Hata wew utaleta kizazi chako ambacho hakitakuwa na dini nacho kitakufata wewe.
Nani mwenye kosa, wew uliyeanzisha upagani au watoto wako waliokufata?

Dini imejengwa katika misingi na sheria zake,

Ndo maana hata nchi yenu ina katiba,ukiivunja unapelekwa kisutu
 
Mjamzito kachinjwa Kama kitoweo. Eti mume kubusu ujauzito wa mke ni kulombana? Hii dini ni ya shetani kabisa.
 
kwan hio nafasi huna saivi ? mbona kila cku watu wanabadili mradi uwe kwako tuh .so unakaa kwenu afu ndio ujitie uchiz
 
Dini ya kuua huo ni wehu
Nilivyousoma Uzi wako tu ubongo wangu ukaniambia huuzi umeletwa na mtu mwenye chuki dhidi ya dini fulani. Na nimethibitiaha hilo. Je unataka tutaje wakristo walikuwa watu wengi duniani Kwa kisingizio cha dini?
 
Mzazi ni wajibu wake si alikuzaa mwenyewe kwani mtoto aliomba mzazi amzae?
Wewe huwez kuwasaidia wazazi wako,au unadanganya wenzako?

Na kwanini iwe lazima kwa mzazi na kwa sheria gani?
 
Hii dini huwa ninaikubali ile sehemu moja pekee ya kuruhusu wanaume kuoa mpaka wanawake wanne. Nje ya hapo, imani yangu ya Kikatoliki ni the best.
Hapa kiukweli uislam ulizingatia vitu vingi sana na walilenga maslahi mapana ya jamii na maadali ukizingatia ya kuwa rate ya wanaume ni ndogo kuliko wanawake bado kuna wajane nadhani kuna vingi walizingatia.
 
Back
Top Bottom