mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
KUZALIWA Hadi kufa UISLAM
Mzazi wangu namsaidia kwa hiari yangu sio kama wazazi wengine wanataka iwe lazima mtoto amsaidieWewe huwez kuwasaidia wazazi wako,au unadanganya wenzako?
Na kwanini iwe lazima kwa mzazi na kwa sheria gani?
mi nadhani ni muhimu zaidi kuzingatia sharia, sheria, mila na desturi za jamii husika kuliko kua na kiherehere katika kuzikiuka tena hadharani kabisa kanakwamba wewe ni wa maana au bora zaidi ya wanaozitii na kuziheshimu.
jitahidi kuheshimu imani na anachokiabudu mwingine na itapendeza zaidi 🐒
mie sidhani kama mtu asie husika nae, anaweza kubabaika nae unless ana changamoto binafsi za kisaikolojia 🐒Watu wanaamini stori za mudi kuwa watapewa mabikra 72 na pombe, sasa hao nao wana akili timamu? Ndiyo maana wanachinjana kila siku. Ningekuwa na mamlaka hiyo dini ningeifuta duniani
Dini inaua? Wakati huo huo inakuahidi uzima wa milele. Hili unalionaje shehe mwaipopo? Mtu kuonyesha anampendda mke wake basi wote wakatwe vichwa. Huu Ni ushetani.
Mjamzito kachinjwa Kama kitoweo. Eti mume kubusu ujauzito wa mke ni kulombana? Hii dini ni ya shetani kabisa.
aNazani Kwa namna nnavyozidi kupata uelewa wa mambo nitaendelea kuwa Muslim hata kama itabadilika mara billion
Mkifanikiwa kumbatiza Samia S Hassan itakuwa moja ya mafanikio makubwa sana ya Kanisa Katoliki.Mkatoliki: now and in the afterlife.
Una habari kamili juu ya kuchinjwa hawa watu kwa jina la AllahHakuna mjamzito wala mke aliyeuawa hapo. Acha kuokota okota udaku mitandaoni ili kuilisha chuki yako dhidi ya Uislam.
Sisi ndio tushakuwa Waislam sasa, kama hutaki basi kufa.
Ninamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam.
Sijui. Ninachojua mimi ni Mkatoliki na itabaki hivyo milele yote.ukatoliki ni dini?
Mafanikio ya Kanisa ni kuwafikisha watoto wake mbinguni baada ya maisha ya hapa duniani.Mkifanikiwa kumbatiza Samia S Hassan itakuwa moja ya mafanikio makubwa sana ya Kanisa Katoliki.
Samia ni mtoto wa Kanisa au lah?Mafanikio ya Kanisa ni kuwafikisha watoto wake mbinguni baada ya maisha ya hapa duniani.
Ndio ntabaki na dini yangu mpaka kiama
Tukihamia sayari nyingine hakuna mambo ya Dini, kabila wala Uraia...Ndio ntabaki na dini yangu mpaka kiama