Sio kweli, kwani baada ya miaka mingi sana kupita na utumwa na ukoloni kuisha na Mtu mweusi kuwa huru mkafanya nini hasa ambacho Dini iliwazuia kufanya?Dini ni njia mojawapo iliyotumika kuwatawala na kuwadanganya waafrica kwa miaka mingi sana.
Kwa nini ?Hata dunia ipinduke mara elfu mkatoliki daima amen
Hizi dini.zina raise maswali magumu sana, imagine ukapewa nafasi.ya mwisho uchague dini upya utabaki na dini yako.ya zamani?.
View attachment 3695245
Dini ni njia mojawapo iliyotumika kuwatawala na kuwadanganya waafrica kwa miaka mingi sana.
Kwani wazungu, Asians na warabu hawana dini
Dini ni trap
Hata dunia ipinduke mara elfu mkatoliki daima amen
mi nadhani ni muhimu zaidi kuzingatia sharia, sheria, mila na desturi za jamii husika kuliko kua na kiherehere katika kuzikiuka tena hadharani kabisa kanakwamba wewe ni wa maana au bora zaidi ya wanaozitii na kuziheshimu.
jitahidi kuheshimu imani na anachokiabudu mwingine na itapendeza zaidi 🐒
Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa wenye hasara.”Suratul Al-Ma’idah (5:3)
Sijawahi kuona kama dini ni kitu halisi
Kabisa, dini ni bonge moja la scam ila ndo hivo wazee wetu walishikwa akili vibaya sana
Waafrika wana IQ ndogo with or without Middle Eastern religious beliefs.
So their challenges and setbacks have nothing to do with imported religion.
Nitabaki kama nilikuja duniani sina dini.
Kivip
Who is being trapped?
Main purpose of religions ni
Kuwatawala na kuwadanganya waafrica hii ilikua itumike kwa muda tu White people wakimaliza kazi yao waifanyie abolition ila waafrica wakaing'ang'ania ,
Ilikua iwe hivi abolition of slave trade and religions
Hii dini huwa ninaikubali ile sehemu moja pekee ya kuruhusu wanaume kuoa mpaka wanawake wanne. Nje ya hapo, imani yangu ya Kikatoliki ni the best.
Dini ni uongo bhana
Alafu wale hawajanyongwa kwakosa la kiislamu bali kwa kuvunja sheria za saudia rabia
Ila ss waislamu walivyolipuka kwa waarabu kutelekeza sheria za nchi yao ndipo hapo twashangaaa
Nitabaki na Dini yangu.
Dini ya kuua huo ni wehu
majibu yote yapoوَجَّهْتُ وَجْهِي للَّذِي فَطرَ السَّمَواتِ والأَرْضَ حَنيفاً وَما أَنا مِنَ الْمُشْرِكِينَ إِنَّ صَلاَتِي وَنُسُكِي وَمَحْيَايَ وَمَمَاتِي للهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ لاَ شَرِيكَ لَهُ وَبِذَلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا مِنَ الْمُسْلِمِينَ
Nimeuelekeza uso wangu kwa yule ambaye Ameumba mbingu na ardhi, hali ya kumtakasia Yeye Dini yangu na sikuwa mimi ni katika washirikina. Hakika Swalah yangu na kichinjwa changu, uhai wangu na kufa kwangu ni kwa Allaah, Mola wa walimwengu, Yeye asiyekuwa na mshirika; kwa hilo nimeamrishwa na mimi ni katika Waislamu.
ok sawa kiongozi wa dini mpya
Naikubali tuu hamna kingneKwa nini ?
Hizi dini.zina raise maswali magumu sana, imagine ukapewa nafasi.ya mwisho uchague dini upya utabaki na dini yako.ya zamani?.
View attachment 3695245
Hao hapo waliofungwa kamba ni waafrika?Dini ni njia mojawapo iliyotumika kuwatawala na kuwadanganya waafrica kwa miaka mingi sana.
Hao jamaa waliochinjwa hapo nao ni waafrica kumbe.Dini ni njia mojawapo iliyotumika kuwatawala na kuwadanganya waafrica kwa miaka mingi sana.
ukatoliki ni dini?Mkatoliki: now and in the afterlife.
Kwa nini unamshukuru mungu wewe kuwa Mkristo?Dini ni kitu hatari sana.
Namshukuru Mungu
Mimi ni Mkristo.
Ukristo ni Imani sio Dini.
Hao wenye Dini ni watu hatari sana.
mi nadhani ni muhimu zaidi kuzingatia sharia, sheria, mila na desturi za jamii husika kuliko kua na kiherehere katika kuzikiuka tena hadharani kabisa kanakwamba wewe ni wa maana au bora zaidi ya wanaozitii na kuziheshimu.
jitahidi kuheshimu imani na anachokiabudu mwingine na itapendeza zaidi 🐒
Dini inaua? Wakati huo huo inakuahidi uzima wa milele. Hili unalionaje shehe mwaipopo? Mtu kuonyesha anampendda mke wake basi wote wakatwe vichwa. Huu Ni ushetani.biblia imesema watua wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,
kwahiyo nadahani ndicho daima hutokea wakristo wengi wasio na maarifa
mie nadhani ng'ang'ana na unachoamini wewe kuliko kubabaika na anachoamini mwingine, na huo ni ustaarabu na heshima kubwa zaidi kwa amani na usalama miongoni mwenu wote 🐒Je kama anaamini tofauti nimheshimu pia?