Ukipigwa kirungu na demu wakati wazungu wanataka kutoka utaweza kukikwepa?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hi gentlemen!

Siku moja huku nampiga demu mmoja hivi aliyejaaliwa utamu nilipigwa kirungu( niliombwa nitoe ahadi yoyote) kipindi ambacho kichwa cha juu kimeishiwa nguvu dhidi ya kichwa cha chini.

Duuuhhhhh, nilikomaa nikajifanya utamu umenikolea siwezi kuongea ili tu nisije kumwahidi kumpeleka Dubai ilhali hata Passport sina.

Je, wewe wazungu wakitaka kutoka na demu anakuomba pesa utasalimika?
 
Maombi huja baada ya kazi.
 
Dereva awapo katika safari sio vyema awe anaongeaongea maana anaweza kusababisha ajali.

Anaruhusiwa kuongea tu pale anapotoa tangazo labda la vituo... Mfano vituo vyenyewe ni kama miguno ambayo kikawaida haikwepeki

Peleka moto

Pelekea moto

Ukiona anauliza maswali jua hupeleki moto
 
Huyo demu atakuwa na ma spiritual husbands, yaani mi nampiga RUNGU halafu nipigwe tena kirungu wakati huohuo li- Bujibuji linataka kutoka, si ndio uchawi wenyewe huo!!!

Mambo ya wanawake wa mjini mi siyawezi, kwenye waganga wamo, kwenye dua za Sharifu Majini wamo, na kwa Mwamposa wako viti vya mbele, na wakitoka huko wanakimbilia kanisani kwa kina johnthebaptist , Kimara Korogwe kwa Mastai
 
Tajitahidi chief
 
Hatari sana
 
Mama J yeye anataka pombe tu[emoji23][emoji23]


lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Akili yangu huwa iko smart sana Wote wa tendo.

Kuna mdada mmoja alikua anatabia hizo za kukuambia shida zake katikati ya tendo afu anataka majibu hapo hapo.

Nlimchana live, bila kupepesa macho.
Tena kwa ukali kabisa na sikU Ito nikasusa kabisa kuendelea kumtafuna.

Nlimwambai,
Always hua siendeshwi na hisia, asitake kuleta tabia za kijambazi hapa kunitapeli kupitia sex.

Kama Kuna mganga amempa dawa ya kapaka uko chini, aje ani-manipulate kupitia sex akamwambie dawa yake Ni feki ARUDISHE PESA.

Nkamsistiza Tena kua,
Niko smart zaidi ya anavonifikiria, nishakutana na nyuchi Kama zake Zaid ya elfu, nimeshacheza mpaka Ex
(Hapo hapo na clip 2 za zamani kdg kwny sim nikamforwadia kwny wasap yake aangalie).

kwaiyo asijione special sana au akahisi mi Ni mgeni wa sex ili aitumie kuni-manipulate.

Kama ananiuzia uchi aweke TU wazi nifike Bei na sio kutumia sex Kama kichaka cha kupitishia shida zake za pesa.

Tangu sikU iyo ALIKOMA IYO TABIA, Mwezi mmoja baadae TUKAACHANA[emoji3525]
 
Wakati unasema hayo ukiwa kileleni au kando?..
 
Wakati unasema hayo ukiwa kileleni au kando?..
Maneno yake yalikua Ni KERO Sana, anauliza afu anataka majibu ya papo kwa papo.

Kwa speed Kali Nilichomoka kifuani,
Nikamwambia
"aisee wee ebu inuka Mara moja ukae hapa pembeni"

Akauliza, "Kuna Nini kwani?"

Nkamwambia ,
"Wee inuka bhana" uku namwinua kwa mkono Tena kwa Nguvu.

Akainuka na nikamkalisha itandani, mi nikakaa kweye sofa,

Hapo ndo nikaanza kumpa za uso
 
Ama uliweza ku escape basi kichwa cha juu kilikuwa na nguvu.
 
Baad ya kutoka wanaenda kupiga kirungu sindio hivyo mdau au nakosea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…