mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
walimu pia walipaswa kulipwa zaidi, ile kazi ni ngumu acha tuHivi watu waliopanga mishahara ya wahudumu wa afya walikuwa sawa kichwani kweli? Kama kuna watu walitakiwa kulipwa mishahara na posho nono basi ni hawa ndugu
Yeah lakini hawawezi kulingana na wa afyawalimu pia walipaswa kulipwa zaidi, ile kazi ni ngumu acha tu
afya department ipi zaidi?, maana kuna baadhi ukiwa mjanja unatoboa vizuriYeah lakini hawawezi kulingana na wa afya
Namaanisha ugumu wa kazi, suala la kutoboa ni mbinu tu yeyote anaweza kutoboaafya department ipi zaidi?, maana kuna baadhi ukiwa mjanja unatoboa vizuri
ahaaa hapo sawa,,, naungana na wewNamaanisha ugumu wa kazi, suala la kutoboa ni mbinu tu yeyote anaweza kutoboa
Afya uwe idara gani Ili utoboe,? Maana 98% ya watumishi wa afya ninawafahamu Mimi Hali zao ni ngumu ,afya department ipi zaidi?, maana kuna baadhi ukiwa mjanja unatoboa vizuri
ni kweli nilikua nimesahau, njaa ni kaliAfya uwe idara gani Ili utoboe,? Maana 98% ya watumishi wa afya ninawafahamu Mimi Hali zao ni ngumu ,
Huyo hapo ni gari ya daktari bingwa, Sasa hapo pana gari ya mtu mwenye pesa?ni kweli nilikua nimesahau, njaa ni kali
ni kweli hakuna, naomba nisameheweHuyo hapo ni gari ya daktari bingwa, Sasa hapo pana gari ya mtu mwenye pesa?
Hapo kwa red hebu fanya marekebisho kidogo. Wanaowapa status kubwa walimu ni wanafunzi wa shule za msingi na wa chekechea.... Labda kama unazunumzia enzi za mwalimu Nyerere ambapo iliaminika UALIMU NI WITO.Ukipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana ,mishahara tunayolipwa wengi tumeshindwa kuipangilia Kwa sababu ya udogo wake , ni Hali ya kawaida kusikia tarehe kama hizi mtumishi mwenzako anakuazima elfu ishirini na huyo mtu ni mtumishi miaka mingi.
Way back nilizani ni sisi walimu TU ila nimekuja fahamu ni watumishi wengi na mbayA zaidi , watumishi wakifanya side hustle haitoboi sawa na watu wengine mtaani, jamii imetupa status kubwa kuitwa mwalimu, doctor basi ni mzigo mwingine tunajaribu kuishi maisha yanayoendana na majiNa yetu bahati mbayA mshahara hautoshi matokeo yake tumejaa mikopo isiyolipika kwa Hali ya kawaida.so ukipita maofisini mwetu kuanzia tarehe Moja to 23 maisha yana namna yake ,so ukipita tubarikie Chochote itatusaidia kutupa hamu ya kulitumikia taifa hili Kwa bidii
Hebu waza na vaa viatu vya watumishi Hawa, umri miaka45 , kipato hakivuki milioni Moja na nusu, Huyu anasomesha, analea familia, Kuna kuhonga, kushiriki mambo ya jamii nk,the same person ndiye anatakiwa atoe huduma Kwa wananchi mfano ni watumishi wa afya kazi ni too risk kwao na kipato ndicho hicho, unaenda kazini na nauli na unarudi mtupu, Sasa ukinipatia hata 10000 inanipa morali ya kufanya kazi
Ni kama vile vi-teller vya kwenye mabenki. Vinajisikia hivyo na vishati vyao vyeupe na vitai.... Ukiona mishahara yao hakyamama utashangaa sanaWatumishi wenyewe uwa wana dharau sana wakati maisha yao tuna yajua