Ukipita ofisi hizi wapatie watumishi chochote

Kuna kaukweli, ila umevuruga kusema kuna kuhonga na posho inategemea na ukarimu wako na uchapakazi. Mtu akiridhika na huduma mfano we Ticha naona kabisa una mfatilia kijana wang kwa ukaribu na inaleta impact lazima nijiongeze sio posho 4 nothing.
 
Basi wale waalimu wa shule za awali. Unajya kazi ya kudwal na watoto kisha uwafundishe waelewe?
Ni kweli ila wale wanafanya kazi masaa machache. Wakiingia saa moja saa tano hawapo shuleni ila dakitari hata akiwa amelala na mumewe/mkewe anagongewa
 
Ukipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana ,mishahara tunayolipwa wengi tumeshindwa kuipangilia Kwa sababu ya udogo wake , ni Hali ya kawaida kusikia tarehe kama hizi mtumishi mwenzako anakuazima elfu ishirini na huyo mtu ni mtumishi miaka mingi.
Way back nilizani ni sisi walimu TU ila nimekuja fahamu ni watumishi wengi na mbayA zaidi , watumishi wakifanya side hustle haitoboi sawa na watu wengine mtaani, jamii imetupa status kubwa kuitwa mwalimu, doctor basi ni mzigo mwingine tunajaribu kuishi maisha yanayoendana na majiNa yetu bahati mbayA mshahara hautoshi matokeo yake tumejaa mikopo isiyolipika kwa Hali ya kawaida.so ukipita maofisini mwetu kuanzia tarehe Moja to 23 maisha yana namna yake ,so ukipita tubarikie Chochote itatusaidia kutupa hamu ya kulitumikia taifa hili Kwa bidii
Hebu waza na vaa viatu vya watumishi Hawa, umri miaka45 , kipato hakivuki milioni Moja na nusu, Huyu anasomesha, analea familia, Kuna kuhonga, kushiriki mambo ya jamii nk,the same person ndiye anatakiwa atoe huduma Kwa wananchi mfano ni watumishi wa afya kazi ni too risk kwao na kipato ndicho hicho, unaenda kazini na nauli na unarudi mtupu, Sasa ukinipatia hata 10000 inanipa morali ya kufanya kazi
Mimi ni mwalimu lakini walimu ni wanapitia hali iyo maana ni waharibifu wwa uchaguzi,
 
Hospital na shuleni ntatoa lakini sio kwa watumishi wa halmashauri
 
Back
Top Bottom