Ukipita ofisi hizi wapatie watumishi chochote

Nakupenda sana babu sema we mwenyewe una mambo mengi
1789496701138.png
 
Zingerudishwa ada ,angalau elfu 20 , hii ingeongeza mapato ya ndani ,angalau walimu wapate posho...Nchi inapata laana kwa kuwadharau walimu na wahudumu wa afya
.
 
Ukipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana ,mishahara tunayolipwa wengi tumeshindwa kuipangilia Kwa sababu ya udogo wake , ni Hali ya kawaida kusikia tarehe kama hizi mtumishi mwenzako anakuazima elfu ishirini na huyo mtu ni mtumishi miaka mingi.
Way back nilizani ni sisi walimu TU ila nimekuja fahamu ni watumishi wengi na mbayA zaidi , watumishi wakifanya side hustle haitoboi sawa na watu wengine mtaani, jamii imetupa status kubwa kuitwa mwalimu, doctor basi ni mzigo mwingine tunajaribu kuishi maisha yanayoendana na majiNa yetu bahati mbayA mshahara hautoshi matokeo yake tumejaa mikopo isiyolipika kwa Hali ya kawaida.so ukipita maofisini mwetu kuanzia tarehe Moja to 23 maisha yana namna yake ,so ukipita tubarikie Chochote itatusaidia kutupa hamu ya kulitumikia taifa hili Kwa bidii
Hebu waza na vaa viatu vya watumishi Hawa, umri miaka45 , kipato hakivuki milioni Moja na nusu, Huyu anasomesha, analea familia, Kuna kuhonga, kushiriki mambo ya jamii nk,the same person ndiye anatakiwa atoe huduma Kwa wananchi mfano ni watumishi wa afya kazi ni too risk kwao na kipato ndicho hicho, unaenda kazini na nauli na unarudi mtupu, Sasa ukinipatia hata 10000 inanipa morali ya kufanya kazi
Wewe ni mwanaume au mwanamke?

Kama ni mwanaume, chunga sana hiyo shimo.
 
Tafakari kwa kina, yaani upewe chochote na mtu wa mtaani asiye na ajira mwenye majukumu kaam yako?
 
Hao waingiza boksi za kura feki?
Sitoi mia yangu mbovu acha wachapike..!!
 
Back
Top Bottom