Viongozi wa hii nchi ni wabinafsi sanaHivi watu waliopanga mishahara ya wahudumu wa afya walikuwa sawa kichwani kweli? Kama kuna watu walitakiwa kulipwa mishahara na posho nono basi ni hawa ndugu
ni kweli hakuna, naomba nisamehewe
Kipato kidogo usihonge,utaula wa chuya.Hebu waza na vaa viatu vya watumishi Hawa, umri miaka45 , kipato hakivuki milioni Moja na nusu, Huyu anasomesha, analea familia, Kuna kuhonga, kushiriki mambo ya jamii nk,the same person ndiye anatakiwa atoe huduma Kwa wananchi
Nimeshakuwa Mwalimu na nikaacha nikawa Mtumishi kada ya afya ninachopaswa kusema Walimu mishahara wanayolipwa ni sahihi kabisa, japo haikidhi kwa sasa ila ni sahihi kabisa kabisa Ualimu ni moja ya kazi nyepesi sana una vipindi viwili ambavyo ni dakika 80 tu sawa na saa1 na dakika 20 siku nzima unapata muda wakuchat na kupiga story japo watakuja kusema sijui kusahihisha kuandaa lesson Plan sijui na nini ni kazi rahisi sana ushakutana na Muuguzi wa Labour ward, ICU,HDU,NiCU, Theatre au Emergency huyu hata muda wa kunywa chai anaweza asipate kabisa siku nzima na badala atoke saa 9 anajikuta anatoka saa 1 jioni na asipokaa makini anaambiwa kuna Refarral inatakiwa iende Benjamin Mkapa au Bugando kutokea Singdia au Kigoma respectivelywalimu pia walipaswa kulipwa zaidi, ile kazi ni ngumu acha tu
Umewah ona maisha ya mwalim wa msingi?Afya uwe idara gani Ili utoboe,? Maana 98% ya watumishi wa afya ninawafahamu Mimi Hali zao ni ngumu ,
Hivi watu waliopanga mishahara ya wahudumu wa afya walikuwa sawa kichwani kweli? Kama kuna watu walitakiwa kulipwa mishahara na posho nono basi ni hawa ndugu
Huyo hapo ni gari ya daktari bingwa, Sasa hapo pana gari ya mtu mwenye pesa?
Siku hizi sikumisi kama zamani mwalimu wangu....Yeah lakini hawawezi kulingana na wa afya
Haujapenda ukweli wake?Ametumia ahadi ya mwana-TANU!Lakini mtoa mada mchanganuo wako umenisikitisha kidogo, inakuwaje uweke kuhonga pamoja na matumizi mengine ya msingi?
Hakunaah!!! Walimu waache wapate joto ya jiwe, maana wameshiriki kwa 100% kupiga kura feki 97% alizopata Sa100.walimu pia walipaswa kulipwa zaidi, ile kazi ni ngumu acha tu
Si umenichoka 😁Siku hizi sikumisi kama zamani mwalimu wangu....
Sasa anataka wawe wanaachiwa chochote ili wakahonge?Haujapenda ukweli wake?Ametumia ahadi ya mwana-TANU!
Ili wahonge?walimu pia walipaswa kulipwa zaidi, ile kazi ni ngumu acha tu
Si umenichoka 😁