Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Hiyo nayo ni shida.Sasa anataka wawe wanaachiwa chochote ili wakahonge?
Hiyo gari nikwa ajili ya kubana matumizi kwa kuwa na ulaji wa mafuta kidogo na inafaa kwa matumizi ya mjini.sasa unataka anunue v8?.Ukitaka utajiri fanya biasharaHuyo hapo ni gari ya daktari bingwa, Sasa hapo pana gari ya mtu mwenye pesa?
Ukiangalia gari kama kipimo cha uwezo wa mtu kiuchumi utakosea sana.Huyo hapo ni gari ya daktari bingwa, Sasa hapo pana gari ya mtu mwenye pesa?
WaalimuHivi watu waliopanga mishahara ya wahudumu wa afya walikuwa sawa kichwani kweli? Kama kuna watu walitakiwa kulipwa mishahara na posho nono basi ni hawa ndugu
Kwako pesa ni kuanzia kiasi gani?Huyo hapo ni gari ya daktari bingwa, Sasa hapo pana gari ya mtu mwenye pesa?
Kazi yao ngumu pia ila hazifananiWaalimu
Wetin be this ?,
Basi wale waalimu wa shule za awali. Unajya kazi ya kudwal na watoto kisha uwafundishe waelewe?Kazi yao ngumu pia ila hazifanani
Ni kweli ila wale wanafanya kazi masaa machache. Wakiingia saa moja saa tano hawapo shuleni ila dakitari hata akiwa amelala na mumewe/mkewe anagongewaBasi wale waalimu wa shule za awali. Unajya kazi ya kudwal na watoto kisha uwafundishe waelewe?
Kila mmoja ana umuhimu kwa nafasi yake.Ni kweli ila wale wanafanya kazi masaa machache. Wakiingia saa moja saa tano hawapo shuleni ila dakitari hata akiwa amelala na mumewe/mkewe anagongewa
Kweli maana Hawa ndio huwa wanaharibu uchaguziSubirini uchaguzi mpate posho ya kusimamia.
Mimi ni mwalimu lakini walimu ni wanapitia hali iyo maana ni waharibifu wwa uchaguzi,Ukipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana ,mishahara tunayolipwa wengi tumeshindwa kuipangilia Kwa sababu ya udogo wake , ni Hali ya kawaida kusikia tarehe kama hizi mtumishi mwenzako anakuazima elfu ishirini na huyo mtu ni mtumishi miaka mingi.
Way back nilizani ni sisi walimu TU ila nimekuja fahamu ni watumishi wengi na mbayA zaidi , watumishi wakifanya side hustle haitoboi sawa na watu wengine mtaani, jamii imetupa status kubwa kuitwa mwalimu, doctor basi ni mzigo mwingine tunajaribu kuishi maisha yanayoendana na majiNa yetu bahati mbayA mshahara hautoshi matokeo yake tumejaa mikopo isiyolipika kwa Hali ya kawaida.so ukipita maofisini mwetu kuanzia tarehe Moja to 23 maisha yana namna yake ,so ukipita tubarikie Chochote itatusaidia kutupa hamu ya kulitumikia taifa hili Kwa bidii
Hebu waza na vaa viatu vya watumishi Hawa, umri miaka45 , kipato hakivuki milioni Moja na nusu, Huyu anasomesha, analea familia, Kuna kuhonga, kushiriki mambo ya jamii nk,the same person ndiye anatakiwa atoe huduma Kwa wananchi mfano ni watumishi wa afya kazi ni too risk kwao na kipato ndicho hicho, unaenda kazini na nauli na unarudi mtupu, Sasa ukinipatia hata 10000 inanipa morali ya kufanya kazi
Kama simu Tu,mnara unasoma ,Na network inashika lakini vocha Na MDA WA maongezi Hamna, ndio Sisi wanaumeπππLakini mtoa mada mchanganuo wako umenisikitisha kidogo, inakuwaje uweke kuhonga pamoja na matumizi mengine ya msingi?
Ni kweliKila mmoja ana umuhimu kwa nafasi yake.
Hospital na shuleni ntatoa lakini sio kwa watumishi wa halmashauriUkipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana ,mishahara tunayolipwa wengi tumeshindwa kuipangilia Kwa sababu ya udogo wake , ni Hali ya kawaida kusikia tarehe kama hizi mtumishi mwenzako anakuazima elfu ishirini na huyo mtu ni mtumishi miaka mingi.