Ukipunguza Matamanio Biashara ni Chaguo Sahihi Kuliko Ajira Kwa karne hii.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT

Huu uzi uwafikie graduates na hustlers Kuna msemo usemao huwezi kutajirika kwa hela ya mshahara huu ni ukweli kabisa kufanya kazi kwa mtu kunanyima uhuru utakuwa mtumwa milele mishahara ya Tanzania ni midogo sana ukilinganisha na gharama za maisha.

Wawekezaji wa Tanzania 80% ni wahindi wamejaa mateso, jeuri na fitina nyingi siku za hivi karibuni tofauti na miaka ya 90 na 80 watu wanateseka sanaa makazini hata kama unalipwa mshahara mkubwa lakini cha moto utakiona.

Sababu kubwa inayowatesa waajiriwa wengi regardless ya cheo au mshahara mkubwa ni competition kwenye ajira na sera za nchi yetu maana graduates ni wengi mno hivyo waajiri wana jeuri iliyopitiliza kwa hiyo kupata mshahara nzuri inaweza kuwa changamoto na hata ukipata utapelekeshwa kama mtoto mdogo.

Huko serikalini sitaongelea sana maana inaajiri watu wachache sana ukiachilia mbali baadhi ya Tasisi zenye mishahara mizuri ila local government kwenye watu wengi ni mateso tupu bila wizi utakufa kapuku.

Let us lower our expectations tuanzishe biashara ambazo watoto wetu wataridhi lakini siyo kazi ya mtu. Biashara inawezekana kabisa as long watu wanaishi so mahitaji bado ni mengi ukiwa na idea nzuri na umilivu kutoboa ni Rahisi.

Tufanye kazi kwa malengo zama hizi siyo za kufanya kazi hadi ufie huko zimepitwa na wakati let us retire young. Ajira ina limited capital Biashara ni juhudi zako tu..

Nawasilisha.
 
Attachments

  • VID-20250507-WA0133.mp4
    2.6 MB

Kuna watu wanaamini bila ajira wanaweza kufaz yaani kuna watu hawaamini nje ya ajira
 
Hujui ugumu wa biashara wewe au labda unaongelea biashara kubwa ambazo kwa nje unadhani wamiliki wake wanatesa kumbe wana pressure kubwa za marejesho ya mkopo. Usijidanganye biashara ni ngumu kuliko ajira ambako una nafasi ya kudoji kwenda kazini au ukaenda kazini kisha ukalala tu na mshahara ukaingia kama kawa.
 
Hii reasoning babu kubwa, kwamba unataka uajiriwe ili uweze "kudorge"?
Wewe unaongelea ajira hizo za serikalini ama??Hizo ambazo watu wako busy na safari per diem.Kwa muhindi.utawezafanya hayo mambo, halafu mkisikia ajira mnawaza hizi za viti virefu na AC, kuna watu Mo analipa 4000/= per day - hawa unafikiri wanalala kizembezembe??,asipokuwepo hapohapo wengine wanachukua nafasi..
 
Mtoa mada una nia nzuri ila tuliweke hivi
🙅🏾‍♂️Sio kila mtu anaweza kujiongoza mwenyewe
🙅🏾‍♂️Ajira inakupa uhakika wa kuishi kitu ambacho ni priority ya kila kiumbe.
🙅🏾‍♂️Mwanzo wa kujiajiri ni mgumu na hauelezeki, msoto wake haumithiriki na unaweza usitoboe
🙅🏾‍♂️ kuajiriwa na kujiajiri ni nature, haitafika siku tukawa na watu waliojiajiri pekee.
 
Yani mambo mpaka umwabudu mtu aubtaasis ndo upate mlo asee,hivi io ajira yako ulishawah piga mahesabu marefu kuhusu generation yako. Kuajiriwa sawa ila hakikisha unaanzisha biashara mshara uwe backup imagine unalipwa mara 12 tu kwa mwaka, mi nikifikiria huwa nachoka kabisa sawa biashara si lele mama ila lazima
 
Mkuu unapotoka.., waulize hata kina Kodak, Nokia, Blackberry to name just a few; Na hizo ni Kampuni giants zilizopotea pasipojulikana kutokana na competition..., sasa achana na huu uchuuzi na udalali ambao ndio upo Bongo, akija mchina akagusa kidogo tu watu wanaanza kulalamika utafikiria wanunuzi wapo pale kwa ajili ya kuwanufaisha wao....

In short mtaani ni pagumu balaa na panahitaji discipline na kutokukata tamaa, kama taifa inabidi wachache waweze kuzalisha zaidi ili hata wakipata faida kidogo bado waweze kuwawezesha ujira waajiriwa wengi (economy of scale)

Hapa Bongo ikija supermarket kubwa moja tu ya maana (Tesco's, Asda au Walmart) basi corners shops zote, mawinga na vijiduka vya kitaa vinakufa kifo cha kawaida
 
Watanzania na supermarket Bora umuue
 
Watanzania na supermarket Bora umuue
Ni Bongo ambapo Supermarket vitu ndio bei kubwa kuliko pengine; Hizo supermarket nilizokutajia vitu ni vya kutupa (Bei ndogo balaa) sababu wana brand zao na wananunua kwa jumla mzigo mkubwa hivyo kupunguziwa; vilevile kuna mpaka sale ya bidhaa ikikaa zaidi ni kwamba hizo zikija kitu ambacho ulinunua bei mara kumi kitaa huko unapata kwa robo bei.... (kuna mpaka buy one get one free)

Sasa mbongo na bei ndio umemfikisha huko kitaa watabakia kulalama kama sasa hivi wanavyolalamikia wachina....

Bongo tuna madalali na wachuuzi big businesses ni za kuhesabu...
 
Bongo ni ngumu kufanya hivyo 90% ya bidhaa una import, Sasa angalia rate ya $ inavyoyumba yumba
 
Back
Top Bottom