Biashara za Duniani zote ni kubet ,yaani biashara unaweza kukosa vyote ..
.
Mwajiri anakuwa na muda mrefu wa kukosa kipato cha kupangilia..Unajua hapo kariakoo licha ya watu kuwa wengi ila kuna mtu hapati hata mteja kuanzia Asubuhi Mpaka usiku.
Uchumi bila ya wanaoajiriwa ni utapeli , wafanyabiashara ni wachumi kiasi hawana matumizi mengi kama walioajiriwa.
Walioshika uchumi duniani wana idadi kubwa ya watu walioajiriwa ,nchi yenye watu wengi waliojiajiri ni Burundi na nyingi karibia zote Top 10 zinatoka Africa.