Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,016
Hii natamani ije......Ni Bongo ambapo Supermarket vitu ndio bei kubwa kuliko pengine; Hizo supermarket nilizokutajia vitu ni vya kutupa (Bei ndogo balaa) sababu wana brand zao na wananunua kwa jumla mzigo mkubwa hivyo kupunguziwa; vilevile kuna mpaka sale ya bidhaa ikikaa zaidi ni kwamba hizo zikija kitu ambacho ulinunua bei mara kumi kitaa huko unapata kwa robo bei.... (kuna mpaka buy one get one free)
Sasa mbongo na bei ndio umemfikisha huko kitaa watabakia kulalama kama sasa hivi wanavyolalamikia wachina....
Bongo tuna madalali na wachuuzi big businesses ni za kuhesabu...
Mchicha una import ? tofauti ni kwamba wewe unaenda kununua mafungu ili uuze supermarket in shamba lake au inanunua shamba zima..., maziwa inanunua ya kijiji kizima, Unga inanunua mahindi ghala zima...,Bongo ni ngumu kufanya hivyo 90% ya bidhaa una import, Sasa angalia rate ya $ inavyoyumba yumba
Mfano unajua wafugaji kuku wanaouzia supermarket huenda mtu akawa anafukuzia hata mia mbili ya kitanzania kwenye kila kuku ?Bongo ni ngumu kufanya hivyo 90% ya bidhaa una import, Sasa angalia rate ya $ inavyoyumba yumba
Yaani kamaHujui ugumu wa biashara wewe au labda unaongelea biashara kubwa ambazo kwa nje unadhani wamiliki wake wanatesa kumbe wana pressure kubwa za marejesho ya mkopo. Usijidanganye biashara ni ngumu kuliko ajira ambako una nafasi ya kudoji kwenda kazini au ukaenda kazini kisha ukalala tu na mshahara ukaingia kama kawa.
Jirani kuna mda hata konyag zinadunda 😂😂😂 bora ww una pa kujishikiza.Nimeajiriwa, na nnafanya biashara ila kwa stress nlizopigwa miezi miwili kwenye biashara mmh niseme tu ahsante konyagi kwa kunipa uisingizi la sivyo........kama sio mirembe ni R.I.P
Thank you konyagi
Mawazo + leadership + vitendo+ data + elimu +uzoefu..Mawazo ndo yanayo fanya mtu awe tajiri au maskini,, utachagua mawazo ako sahihi kwa future yako 🤌🏾
Na ndio asilimia 80 ya watanzania tunaamini hivyo..Kuna watu wanaamini bila ajira wanaweza kufaz yaani kuna watu hawaamini nje ya ajira
AdmittedMawazo + leadership + vitendo+ data + elimu +uzoefu..
Ni kweli utalala au kudoji, ila sio maisha halisi maana yake siku ukitoka kazini hali yako ya maisha itakuwa ngumu sana. Kwani bila kuzalisha hata kama utapata hela unajidanganya ni suala la muda tu. Hivyo kufanya kazi kwa bidii regardless ni kujiajiri au kuajiriwa ndio msingi wa mafanikio. Shortcut yoyote haina mwisho mzuri.Hujui ugumu wa biashara wewe au labda unaongelea biashara kubwa ambazo kwa nje unadhani wamiliki wake wanatesa kumbe wana pressure kubwa za marejesho ya mkopo. Usijidanganye biashara ni ngumu kuliko ajira ambako una nafasi ya kudoji kwenda kazini au ukaenda kazini kisha ukalala tu na mshahara ukaingia kama kawa.