Ukisafiri ukakaa na Msichana siti moja, safari inakua fupi sana

Dah mimi nimewahi safiri na Mtoto mmoja kutoka Tabora na Bus la Colar Star alikua mkali kinoma yaani konda aliamua kinipambanisha. Akanipatia namba dahhh bahati mbaya ikapotea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Vile vile ni rahisi kukataa hilo tongozo........

Easy come easy go......
 
Raha ukutane na bint anayerud chuo usipopakuwa mzigo Ni ufa-la wako Tu au uwe huna hela ya zarula!!!
mkuu umelenga mle mle kadem kenyewe ni cha chuo ifm mbona tumelala sinza nimefanya yangu kilainiiii
 
ni wachache sana mkuu wanaokataa labda uwe domo zage madem wamekua rahis sana

Kwa kuwa hayo mapenzi mwanamke hawajifanyi wenyewe basi hata wanaume na sisi tumekuwa warahisi kama sio mahayawani.......

Mwanaume mwenye akili timamu na ufahamu wako unaanzaje kumuomba penzi mwanamke mliekutana tu kwenye siti ya basi....!!?? Huu ni zaidi ya upumbavu......
 
Na mbeya ndio mkoa unaoongoza kwa ngwengwe so jiangalie.
 
Wachuchu hawapandi first class!
 
Ni kweli
 
Wanaume wengine bwana. sasa bill gani hapo njian? chips kuku na soda? hicho kisoda na kichps kuku ndio unakuja kulialia hapa?

na nyie wadada angalieni wanaume wanawapa ofa,
ama!!!!
 
Mara nyingi mkifika kituoni kila mtu na hamsini zake.
 
Kama alipiga na socks haina shida. Kuvaa gwanda lazma.

Tukiachilia mbali suala la soksi, ule ujasiri wa kukutana na mtu siku ya kwanza na kupiga kazi unatoka wapi? Nachukulia suala la mapenzi very serious sio kila mtu unaenda nae na sio suala la yeye kutaka, ntanunua kila kitu tutapiga story nta clear bill kama jamaa yangu kwenye safari yake lakini haimaanishi tupige kazi.
 
kazi kazi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…