mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
- Thread starter
- #41
haaaaaaaaUnaenda wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaaaaaaaUnaenda wapi
katulia balaa mkuu nishagusaHaya bhna...fanya yako bro. Mdai vyako
nimebahatika kufika stend mbeya apa bahati nzuri bus nililokata tiketi kwenye siti kaja mtoto mkali balaa yaani tumeanza stori mpaka natamani tusifike safari imekua fupi sana ila tatizo sasa njian naumia maana hoteln pale nimeclere bill.. ila na enjoy sana ila nimejifunza kitu Dem wako au wife akisafiri kwenye hizi bus akibahatika kukaa na mwanaume ni rahis sana kutongozwa
ni wachache sana mkuu wanaokataa labda uwe domo zage madem wamekua rahis sanaVile vile ni rahisi kukataa hilo tongozo........
Easy come easy go......
mkuu umelenga mle mle kadem kenyewe ni cha chuo ifm mbona tumelala sinza nimefanya yangu kilainiiiiRaha ukutane na bint anayerud chuo usipopakuwa mzigo Ni ufa-la wako Tu au uwe huna hela ya zarula!!!
ni wachache sana mkuu wanaokataa labda uwe domo zage madem wamekua rahis sana
Na mbeya ndio mkoa unaoongoza kwa ngwengwe so jiangalie.nimebahatika kufika stend mbeya apa bahati nzuri bus nililokata tiketi kwenye siti kaja mtoto mkali balaa yaani tumeanza stori mpaka natamani tusifike safari imekua fupi sana ila tatizo sasa njian naumia maana hoteln pale nimeclere bill.. ila na enjoy sana ila nimejifunza kitu Dem wako au wife akisafiri kwenye hizi bus akibahatika kukaa na mwanaume ni rahis sana kutongozwa
Na mbeya ndio mkoa unaoongoza kwa ngwengwe so jiangalie.
Kama alipiga na socks haina shida. Kuvaa gwanda lazma.Ameshafanya yake tayari mkuu, watu wanahatari sana, mnakutana na mtu mara moja tu na unaamua kujilipua!!
Wachuchu hawapandi first class!Mi nakumbuka majuzi hapa nilisafiri na nikaa na Esther. Niliifurahia sana hiyo safari na kwa kweli ilikuwa fupi mno.
Kwa ndege sijawahi kukaa na mchuchu kwa sababu huwa napanda daraja la kwanza unless labda niwe nimepanda FastJet kwenda mikoano huko.
Ni kwelinimebahatika kufika stend mbeya apa bahati nzuri bus nililokata tiketi kwenye siti kaja mtoto mkali balaa yaani tumeanza stori mpaka natamani tusifike safari imekua fupi sana ila tatizo sasa njian naumia maana hoteln pale nimeclere bill.. ila na enjoy sana ila nimejifunza kitu Dem wako au wife akisafiri kwenye hizi bus akibahatika kukaa na mwanaume ni rahis sana kutongozwa
ama!!!!Wanaume wengine bwana. sasa bill gani hapo njian? chips kuku na soda? hicho kisoda na kichps kuku ndio unakuja kulialia hapa?
na nyie wadada angalieni wanaume wanawapa ofa,
Kama alipiga na socks haina shida. Kuvaa gwanda lazma.
kazi kazi mkuuTukiachilia mbali suala la soksi, ule ujasiri wa kukutana na mtu siku ya kwanza na kupiga kazi unatoka wapi? Nachukulia suala la mapenzi very serious sio kila mtu unaenda nae na sio suala la yeye kutaka, ntanunua kila kitu tutapiga story nta clear bill kama jamaa yangu kwenye safari yake lakini haimaanishi tupige kazi.
mkuu yule mtoto ni kisu hata ungekua ww usingeacha aisee daaAmeshafanya yake tayari mkuu, watu wanahatari sana, mnakutana na mtu mara moja tu na unaamua kujilipua!!