Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Habari mjasiriamali, najua pengine hujawahi kusikia kuhusu beneficial ownership.
Kwa kifupi Beneficial Ownership ni taarifa za umiliki wa Kampuni ambazo zinaonesha nani haswa ni mnufaika Kampuni hata kama hayupo kwenye list ya shareholders.
Mfano, mtoto wako anaweza asiwepo kwenye list ya shareholders sababu labda Hana NIDA ila unaweza kumuweka kama Beneficial owner baada ya Kusajili Kampuni.
Kama unahitaji kujua vizuri kuhusu beneficial ownership nimekuandalia E-book ya BURE inayoitwa "Beneficial Ownership Vol.1"
Ambayo itakueleza
1. Nini maana ya beneficial ownership
2. Nani ni beneficial owner
3. Jinsi ya kufanya application ya beneficial ownership na
4. Fee zinazohitajika.
Nitumie neno "BO" WhatsApp kupitia namba hizi ku access E-book yako.
0678131068
Your Favorite lawyer.