Ukisema tu haufanyi scrub unaoshwa kama unabatizwa aisee!

Kufanyiwa scrub ni uchafu tu.vitambaa vyenyewe ni vichafu.nimezunguka salooni nyingi tz hazizingatii usafi.wasichana wale ni Malaya tu.maana ukitaka kufanya unakubaliwa bila shida yeyote.
 
Kufanyiwa scrub ni uchafu tu.vitambaa vyenyewe ni vichafu.nimezunguka salooni nyingi tz hazizingatii usafi.wasichana wale ni Malaya tu.maana ukitaka kufanya unakubaliwa bila shida yeyote.
Naskia kuna saloon nyingine ndani kuna vyumba na vitanda kabisa
 
nimesoma comment za watu humu minecheka sana. ila kuepuka hayo kipara tafuta mtu akunyoe sio lazima saloon mfano mimi nanyolewa na mke wangu kwahyo huduma kama scrub na masaji ya kichwa napata bureee kabisa tena kwa mahaba tele...,


hao madem nao wanatafuta kipato ila sio ustaarabu kumuumiza mtu kisa hajataka huduma fulani
 
Yani wanakomoa kabisa, afadhali wewe mamamtu anamaliza kila kitu
 
Hivi ukiwaambia hutaki scrub kumbe ni ttz 😄
Mimi hata kunawishwa sipendagi sana
Maana kuna siku baada ya kunyoa nikaona ameshika jagi akamimina maji kwenye kopo nikajua ni ya uvuguvugu kumbe ya baridi ile kunimwagia kwenye kichwa bado kidg nizimie kuanzia siku hiyo kunawa ni nyumbani
 
Sasa kama mtu hataki ndy wafanye visa
Yap..
Nadhani wale warembo malipo yao hutegemea idadi ya watu waliofanyia Scrub, nk. Sasa ukichomoa unapunguza mpunga wao.

Mmoja aliniambia: nafanya Scrub, massage..

Mimi: mbona kuna viti tu, kitanda kiko wapi?
Mrembo: hapana, tuna viti tu
Mimi: massage utanifanyia vipi bila kitanda?
Mrembo: inawezekana kaka, maana nakufanyia tu kichwani, shingoni na mabegani.
Mimi: basi hiyo siyo massage...
 
Na ukikubali tu kuoshwa na hela inaongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…